Ticker

6/recent/ticker-posts

JINSI YA KUTUNZA UKE WAKO UZIDI KUONEKANA MPYA KILA SIKU



         

Ukiamka asubuhi chukua maji safi ya baridi OSHA ukewako kuondoa wadii yaliyojikusanya usiku, hakikisha umesafisha hadi kidole hakiingii kwani kabla ya kusafisha kidole huingia kirahisi.

:kamwe usitumie Maji moto kujisafisha uke kwasababu maji moto yanalegeza uke na kuufanya usiwe na mvuto kwa mpenzi wako tumia maji baridi yawe masafi

vaa chupi za cotton  kwani zile hufyonza majimaji kwa haraka ukeni pia ukiwa na mume wako jitahid kuvaa chupi nzuri zenye kuvutia na kuleta msisimko pindi mmeo anapokuona

:vaa skin Tait muda mwingi hasa uwapo kwenye mizunguko, zile husaidia kuzuia na kuondoa weusi kwenye mapaja, hili la weusi mapajani nishawafundisha somo namna ya  kutatua,

:zingatia mazoezi ya kegel maranyingi uwezavyo kwa uimara wa uke na kuufanya uwe tam wakati wa sex pia mazoezi haya huleta mnato hata pale unapokuwa unajimai, mwanaume husikia raha na kufanya akukumbuke kila anapokuwa

wakati wa kuchamba anza mbele kwenda nyuma kuepuka maambukizi ukeni

usipende kujitia madole ukeni au kujisafisha kwa kutoa uchafu zaidi ya maramoja kwa Siku yaani pale unapoamka asubuhi ila jioni osha tu uke wako kawaida

:safisha vizuri uke wako baada ya kujisaidia yaani tumia maji safi ila usitie vidole ndani kama c asubuhi bacteria walioko ukeni mchana hulinda uke usiku hupanua uke, ndo mana nasstiza safisha uke kwa kutoa uchafu kila asubuhi ili kuwaondoa wale bacteria wanaopanua uke ambao hutawala zaidi usiku, waweza safisha uke  kwa kutoa uchafu zaidi ya Mara Moja kama wataka kumpa Mzee

hakikisha unapata glass moja  ya maziwa mtindi kila siku si ombi ni lazima,faida zake utaziona.

badilisha pads marakwamara uwapo kwenye cku zako

safisha ukewako kuondoa manii baada ya jimai

tumia njia ya waxing kuondoa mavuzi ukeni kwani kiwembe chaweza sababisha vipele au weusi wa kudumu ukeni

epuka kutumia sabuni kusafisha kumayako

weka misk ukeni ili uwe na joto la kumvutia mme na kukata shombo kwenye uke

Ukiyapenda yafanyie kazi


  KUOLEWA NI NDOTO KUU YA KILA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA ILA KAMA UNA TABIA HIZI UTAZEEKEA NYUMBANI

1. Tamaa ya utajiri
Fedha na mali nyingi pasipo kutambua kuwa vitu hutafutwa, hapa wengi hupoteza nyota zao kwa kukataa wengi wenye kipato cha kawaida na kujirahisisha kwa  wenye nazo ambao kwa bahati mbaya wengi wao sio waoaji bali ni wahuni tu na watu wa anasa na kula bata mjini

2. Dharau,
Maringo, kiburi na mashauzi yaani we kila mtu akikusogelea na kujaribu kuzungumza na wewe unaanza kumpandisha na kumshusha kisha una msonya. Wengi huishia kukupotezea wakijua either umewadharau au tayari una mtu wako ndio maana nyodo nyingi.

3. Kujiweka mbali na ibadah

Hakika lazima wahuni watapata nafasi kwako na kukuchezea mpaka uchakae . ALLAH MTUKUFU ndo  anaetoa BARAKA ukimuomba hakika atakuepushia kuingia midomon mwa dubu na fisi wanaokuwa wakikuvizia na kuja kama MALAIKA. Atakupa ufahamu wa kuwatambua na kuwashtukia mapema.

4. Kuvaa nguo za ajabu ajabu kama changudoa

Sijui ni nani aliyewaambia kuwa mkivaa hivyo mnapendeza! Unakuta binti unavaa kama mcheza show za Casino yaani ukipita nguo yaonyesha kila kitu ukiinama ndio balaa kabisa yaani kimin kinafunuka kila kitu nje nje kwa style hiyo nani atakupeleka kwao?

5. Kujipaka marangi ya ajabu ajabu usoni na kudhihirisha mapambo hayo


6. Kupenda kujirahisisha au kujipendekeza pendekeza kwa wanaume,

yani ukiguswa kidogo tu twende.

7. Kuwa na picha karibia 500 Facebook, Twitter nk halafu picha zenyewe hazieleweki yani zimepigwa katika mavazi au mapozi ya ajabu ajabu, mara umebinua makalio, mara tumbo, mara mdomo,

8. Kila unachofanya basi unakimbilia kupost mfano kwenye Facebook

Na kadhalika
 nyinginezo hata ukienda haja basi lazima upost.

9. Ni mtu wa maneno maneno

 yani we kila unachokiona unaongea na kuropoka ropoka tu hauna break! mwanamke gani?

10. Huna mawazo ya malengo Yaani we kwenye kichwa chako kumejaa umbea tu ya maisha ya watu yasiyokuhusu.

11 Mizinga.
 Yani siku ya pili tu baada ya kukutongoza unaanza " honey nataka galaxy" Htc" Huawei" mara baby nimeona nguo nzuri mara ooh baby yaani njaa inauma'' , utasindikiza harusi za wenzio hadi upigwe alama..

Waswahili husema, "Kama mzuri, Olewa"

Jihadhari na tabia hizo
                    Like share comment
Reactions

Chapisha Maoni

0 Maoni

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();