Ticker

6/recent/ticker-posts

SMS ZA MAHABA ZA KUTUMIA UMPENDAE KWA DHATI


kiza kimetanda,,unuru sikuoni sio siri nakupenda,,Kichwani hadi kidoleni Penzi lako mie kinda,,nilishe tu mdomoni Kwengine siwezi kwenda,,umeniteka moyoni kwako vyote napenda hata tabasamu usoni Usiku mwema chema chanda Nyongo mkalia 

I love yuo❤❤❤❤


Taa ya penzi letu inawaka kuashiria bado tunapendana Mimi ni kivuli chako,,Nitakufata popote ukienda Sina khofu na penzi lako Kwa sababu nakupenda Nipo pembeni yako,,Nipe penzi Nakupenda sana

my dear❤❤❤❤


Kipi kizuri kwangu,,,Kama sio wewe,,Nipe penzi lako baby,,mwili nilowe,,Sina mwengine anifikishae Bali ni wewe,,Penzi lako ni tamu,,,Hilo naomba uelewe,,Naomba unipende siku zote,Nibaki na wewe,,Sitaki kumpa moyo wangu mwengine,,tofauti na wewe,,Furaha hunijaa,,Pale tu nikiwa na wewe

ILOVE YOU FOREVER❤❤


Weupe wa penzi lako Ni sawa na mwezi angani Mpenzi umeniteka akili Mpaka najihisi punguwani Utamu wa penzi lako sijui nifananishe na nini Wewe ni maji yangu,,,wanitoa kiu hata nikiwa jangwani Mpenzi dumisha penzi letu,,,wala usiwape nafasi majirani Zidisha mahaba zaidi,,,Pindi tuwapo kitandani,,Nakupenda sio utani 

WEWE NI CHAGUO LANGU❤❤❤


My love hakika mungu uzuri kakujalia Urembo wako hakuna mwengine,,,awezae kuufikia Hata niwapo na mawazo,,nikikuona nafsi hutulia Hakika umewashinda wote kwako nimetulia Kwa mahaba yako tele kitandani unayonipatia Kwa hakika nakupenda 

my dear❤❤


Weekend ndio siku nilikuwa nikiisubiria Ili Mimi na wewe mpenz,, Tupate tulia Zawadi upendo pekee ndio niliokuandalia Naomba ujali yako ahadi,,Ili upate tokea Na kuhusu penz leo nitakupatia Kwa kua nilikumis 

my dear❤❤


Niliambiwa mengi kuhusu wewe lakin masikio yaliziba Sikutaka kusikia chochote kuhusu wewe Nilishaona mabaya yako mengi Ila mboni zangu hazikuamini kionacho Nikapiga moyo konde,,Na kuamini kuwa utajifunza,Na yatapita Kwani  kila binadamu ana madhafu yake Na nikaamua kukuhifadhi moyoni mwangu Na kuamini kuwa penzi hujengwa na madhaifu yetu,,,,Na kupishana mara nyingi ndio kujifunza kwetu,,Nakuamini mpenzi ipo siku utabadilika 

I LOVE YOU SO MUCH❤❤❤❤


Ewe wangu mahabuba,,mwenye uzuri si haiba Kamwe penzi lako sitashiba,,Maana nakupenda si haba Chuki baina yetu ni mwiba,,Inayoumiza letu huba Tushiane kwa mahaba,,tuepuke huo mwiba Nakupenda mahabuba,,Na kamwe penz lako sitoshiba 

I LOVE YOU❤❤❤❤❤❤


Natamani ningekuwa chozi,,jichoni mwako Ambapo ningeteremka,,Na kuishia mdomoni mwako Lakini kwamwe sitamani uwe chozi jichoni mwangu Kwa sababu nitakupoteza kila muda niliapo 

NAKUPENDA SANA👀❤❤❤❤


Naweza kwenda mbali kwenye hii dunia ila si mbali na penzi lako Hata pote nilipopita nimejionea kuna wazuri wengi ila hakuna zaidi yako Kama ni kiapo nitakiapia we ni ngome Ya upendo nimekubali kukutumikia Na nakupenda kwenye hii duniaNa kama ni fungu kutoka kwa mungu Jua kwako ndipo nilipochaguliwa 

NAKUPENDA MY DEAR❤❤❤



Yavumilie matatizo yako ya sasa kwani ndio mafanikio yako ya kesho Uwafatao leo kesho watakutafuta Na wakuchukiao sasa muda ukifika watakupenda Na waliotoa kauli mbaya juu yako,,Watakanusha kauli zao Ila usiwasahau wakupao moyo sasa,,Maana ndio chachu ya mafanikio yako ya baadae Mungu akuumba jua☀️Bila mvua🌨️🌨️Shida bila raha,,chuki bila upendo,,Huzuni bila furaha Hivyo basi muombe mungu akuongoze siku zote za maisha yako

🌹🌹🌹🌹❤️❤️❤️


Yavumilie matatizo yako ya sasa kwani ndio mafanikio yako ya kesho Uwafatao leo kesho watakutafuta Na wakuchukiao sasa muda ukifika watakupenda Na waliotoa kauli mbaya juu yako,,Watakanusha kauli zao Ila usiwasahau wakupao moyo sasa,,Maana ndio chachu ya mafanikio yako ya baadae Mungu akuumba jua☀️Bila mvua Shida bila raha,,chuki bila upendo,,Huzuni bila furaha Hivyo basi muombe mungu akuongoze siku zote za maisha yako

🌹🌹🌹🌹❤️❤️❤️


Sahau kuhusu kutendwa sababu moyo wangu ndio makazi ya penzi lako Najiona wa fahari sana tangu siku uliponibeba kwenye mikono ya upendo wako Mimi ni sawa na mfa maji Yaani sina nguvu bahari ya raha zako Nakupenda sana Na kwangu utabaki pekeako Kama ni upendo hata kwa mama upo ila kama ni penzi la dhati basi nalipata kwak pekeako 

🌹🌹NAKUPENDA SANA🌹🌹❤️❤️


Pokea sms yangu iliyojaa utamu💌Nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu Utamu wake ni kama apple🍎haufanan na ndimu💌Nimeituma sms hii kwako Ikuletee salamu je umeamkaje barafu wa moyo wangu❤️❤️


Penzi langu maarufu,,Nakupa unienzie Tena ni penzi nadhifu,,hilo lazima ujue Wala si penzi la khofu,,wasiwasi lisikutie Ni penzi la insaaf nampa nimpendae Kama kukupenda ni mauti,kwako ni tayari kufa Na kama kukupenda ni maradhi,,dawa kwako natafuta Na ikiwa kukupenda ni bahati,,basi kwako naitafuta Naomba nafasi mpenz,,mwenzio nataabika Wala sitampenda mwengine zaidi yako,,

❤️🌹,,Ukweli huo nakupa🌹❤️


Siamini kilichotokea,,hakika nimekukosea upuuzi niliokufanyia,,Najua jinsi gani waumia Ndio maana umeninunia Nisamehe mpenzi,,Nafsi yangu ipate tulia Kwani bila wewe sina thamani Katika hii dunia

❤️🌹Nakupenda my dear🌹❤️

Toa maoni 


             Share

Reactions

Chapisha Maoni

0 Maoni

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();