Hili ni jana limekuwa kilio kwa Wanawake wengi sikuhizi kwa kutofurahishwa na show za Waume zao.
Nikweli kuna Wanaume hawasimamii vizuri show zao kutokana na Afya zao lakini pia Dada zangu kuna shida kubwa mnaitengeneza wenyewe bila kufahamu.
Shida hiyo inakuja kuwagharimu sana katika maisha yenu haswa muwapo kwenye NDOA.
Kuna Utafiti niliusoma mahali unaeleza kuwa Wanawake wengi ambao walishatembea na Wanaume wengi kabla ya Ndoa huishi bila furaha kwenye ndoa zao. Kutokana na kukumbwa na hili janga la kutofikishwa Kilelen.
Mwanaume alivyoumbwa alitofautishwa na Mwanamke kimaumbile
Uume wa Mwanaume hata atembee na wanawake 10 kwa siku hauwezi kuchakaa ama kuisha ama kubadilika umbile kwa namna yoyote.
Ila kwa Mwanamke ni tofauti sana kwajinsi ya Maumbile yao yalivyo,lazma yalegee.
Sasa mwanamke kwanini ushindane na Mwanaume!!?
Dada yangu iwapo utatumia hovyo maungo yako ,kwakutaka kila saizi ikuingie kumbuka tuu kuwa maubile yako yanalegea na pia hupanuka na Kutengeneza bonge la Bwawa(Samahan).
Mpaka inafikia mahali baadhi ya Mashine unakuwa huzisikii tena yaani zinakuwa zinaelea tuu wakati wa mechi.
Ndipo utataka saizi kubwa zaidi lakini nazo zitaonekana vibamia tuu sababu Uke wako uhakuwa sugu na umelegea.
Hivi Ukija kuolewa utakuwaje?
Hapo ndio inakuja kuwa Uwezekano mkubwa kuja kuishi kwenye Ndoa isiyo na furaha sababu hutafurahia tena lile tendo.
Maana kilelen hutafikishwa tena. Na hapo ndio utaanza kuhaha kuchepuka tuu.
USIA KWENU.
Acheni mambo ya kuweka Pesa mbele mkatumikishwa eti Mwanaume ilimradi Pesa yake tuu.
Tumieni Usichana wenu vizuri Mabinti,
Usihadaike na Uzuri ulojaaliwa nao ukaona ndio Ajira yako yakuweza kukuhudumia kwa kila kitu.
Usisahau kuna muda mtakuwa Mabibi urembo utandoka.
Siku ukichoka huwezi kupata tena Mtu wa kukuhonga.. Wanaume hawatakutaka tena hata Ukitangaza unagawa bure.
Acha kubweteka kwakupewa Ofa kila siku kisha unaenda kutumika.
Ofa kuna kipindi ztapotea utabaki kama ulivyo.
Tumikishaa akili yako kujitaftia kipato nasiyo Uchi wako ndio uufanye mtaji wako.
KUMBUKA
Mtu(Mwanaume) sahihi ni Bora kuliko hizo Pesa mnazokimbilia
Kama umeipenda andika hapo chini nimeipenda sambaza na kwa wengine wapate elimu hii.
Kwaheri
NAWAPENDA SANA ❤️
0 Maoni