Bonyeza hapa Download App ya MAHABA |
.Yafuatayo ni mambo muhimu kabisa yatakayo kukusaidia kumpata kiurahisi Binti unayempenda na kumuitaji awe mchumba na hatimaye mke wako...
1... Wakati ukizungumza nae, jaribu kuzungumza "HISIA" Kama vile kumbukumbu yako ya utotoni, matarajio ya baadae au matamanio yake. Mada hii ya mazungumzo yenu yatafungua milango na hisia zake gafla, usichukulie ni jambo la kijinga kwako lakini lipo na alama nyingi sana kwa mwanamke unayezungumza naye kwani mwanamke hupenda sana mambo ya utotoni...
Bonyeza hapa jisajiri upate sh:5000 Bule |
2...Wanawake uhitaji mwanaume asiyekuwa na uoga wa kuwamiliki na kuwaongoza. Wakati unazungumza na mwanamke, tawala akili yake na mazungumzo yake na kamwe usimpe nafasi ya yeye kuanza kufikiri kuwa nini ulichokuwa ukizungumzia kwani mwanamke ni mpimaji wa akili ya mwanaume..
3... Kuwa makini unapokuwa ukizungumza naye huku akikupatia majibu yasiyo na hisia zozote za mapenzi. Hapo utajua kuna kitu, hivyo kama kwa bahati mbaya uko nae karibu kiasi cha kugusana, basi jisogeze pembeni kidogo wakati huku ukiendelea kuongea ili asishtuke au unaweza kumuona hayuko sawa kwa utoaji majibu. Kwa kawaida atakuonyesha ishara, hivyo kuwa nazo makini maana mwanamke hupenda kuongea kwa hisia wala sio kwa kawaida kwahiyo usichukie endelea.
4... Kumbuka hii kauli mbiu. Ucheshi, vituko sio mapenzi, wanawake huvutiwa sana na wanaume wanaoweza kuwafanya wawe na furaha muda wote. Usijikite sana kufanya utani unaopita kiasi na kusahau ulichokuwa unaongea. Bali jikite katika mambo yatakayo mfanya ajisikie kuwa na msisimko na starehe wakati uko nae maana wanawake wengi hupenda mwanaume mchangamfu na mwenye kumpa furaha na nafasi yakuongea..
Bonyeza hapa Download App ya MAHABA
5... Zama katika undani wa mazungumzo baina yako na yeye. Mwanamke huendana na Mwanaume asiyekuwa muoga wa kuzungumzia mambo binafsi kwa ukaribu. Hapa unatakiwa uongee na yeye huku ukimtazama machoni mara kwa mara, kwani inajenga attention ya yeye kukuamini zaidi.
6... Wanawake wengi hupenda maoni yako kuhusiana na jinsi unavyomuona, mwambie vitu unavyoviona kutoka kwake. Lakini jaribu kuwa makini ili usivitaje vitu vyengine vitakavyo msababisha apoteze furaha yake mfano nakupa unaweza kumwambia "Hakika mcute nimependa gauni lako, jinsi lilivyokutoa vyema bila ya pingamizi". Hapa najua atafurahia na kutoa tabasamu.
7...Epuka kumpa ofa nyingi mwanamke, mwanamke huwa na mashaka na mwanaume anayempatia vitu vingi kwa wakati mmoja au kila mara. Kwasababu atafikiri vitu unavyompatia ni kutaka kumvutia tu ili umpate kiurahisi. Kitu ambacho baadae kitaleta madhara makubwa maana mwanamke ni hodari wakufikiria mbele zaidi kwa mwanaume, mpe vitu vidogo vidogo ndio utamteka zaidi akili yake..
Bonyeza hapa Download App ya MAHABA
8...Kama unahitaji kujua njia nzuri ya kuongea na Mwanamke au msichana na asikudharau au kuboeka na wewe, basi usitumie njia ya kumuuliza maswali mengi katika mazungumzo yenu. Bali jaribu kueleza mawazo yako kuhusu vitu flani ambavyo ni mbali na maswali..
9... Kumbuka kauli juu ya kuuliza maswali. Badala ya kuuliza "Wewe umekulia wapi?" , Uliza "Unaonekana hujawahi kulia maeneo haya". Hii itakusaidia kufanya uchunguzi juu yake bila ya yeye kujua umeuliza au umezungumza nae hapa lazima atakujibu..
10... Usifiche utambulisho wako , zungumza hisia zako. Onyesha uhalisia wako katika kuzungumza, usitumie mistari ya mtu mwengine jaribu kupanga maneno kimpangilio uliyojiwekea kwa akili yako.
|
11.. Ukiona amekukubali na maongezi yako, na yupo huru. Sasa zidi kusogea karibu yake na umwambie huku ukishika mkono wake na kumwambia kininja Janja. "Hakika hii mikono yako milaini kweli, huwa unaipaka nini ndio inakuwa hivi mpenzi". Unauliza na lazima atakujibu, baada ya kujibu usiondoe haraka kuuwachia. Ushike ndani ya sekunde kumi, kwani hii itajenga uhusiano wa necta ya kimwili baina ya wewe na yeye na kujihisi uhuru zaidi bila ya kupinga...
Bonyeza hapa Download App ya MAHABA
Zingatia hili...
Na nakupa ushauri wa bure....
Njia bora ya kufikiria kuzungumza na mwanamke, ni kutambua njia sahihi ya mazungumzo ya furaha na yakimahaba utakayaoitumia. Ispokuwa usimuige mtu,
kwani kuzungumza na mwanamke si vigumu bali nikujua hasa vitu gani Mwanamke hapendi kuvizungumzia.. Na anapenda vitu gani kuvisikia kutoka kwako.
Na njia hii ukifaulu usidhanie ni kwa kila mwanamke, kwani unatakiwa ufahamu kuna kukataliwa na kukubaliwa.
Usiifanye njia hii kuwa ya uzinzi, ifanye njia hii iwe kwa yule umpendae.
Ukihitaji ushauri wowote ule unaweza kutuma sms kwenye kisanduku cha ujumbe kama huna App ya blog yangu Download hapo chini👇
0 Maoni