Ticker

6/recent/ticker-posts

UKE MCHAFU


 .                *UKE MCHAFU*

  *LIJUE SOMO KUHUSU* *UKE MCHAFU*

*UKE MCHAFU*:Ni uke ambao hutoa harufu na hutoa uchafu kama maji maji ya njano kama maziwa ya mtindi yeny harufu mbaya kama shombo la samaki

*VISABABISHI VYA UKE MCHAFU*
-matumizi ya sabuni za antbiotics kujisafishia uke km protex,medicatede soap,  n.k
-Kujiingiza vidole ukeni mara kwa mara
-Fangasi sugu ukeni
-U.T.I sugu
-Kutojisafisha na kujikausha vizuri ukeni
-Magonjwaa ya zinaa kama kaswende,gonorea n.k
-Hormone imbalance
-Unywaji na ulaji wa vyakula vyeny sukari kwa wingi mara kwa mara
-Ulaji wa vyakula vyeny mafuta mara kwa mara

*DALILI ZA UKE MKAVU*
-kutokwa na uchafu ukeni usio wa kawaida
-Kutokwa na uchafu weny harufu mbaya
-Kuwashwa sehem za siri ndan ya uke
-Maumivu sehem za siri wakat wa kukojoa
-Maumivu makali chini ya kitovu
-Kutokwa na uchafu ulio changanyikana na damu
-Kutokwa na maji maji ya njano kama mtindi yeny harufu mbaya kama shombo la samaki

Reactions

Chapisha Maoni

0 Maoni

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();