1.Ukimpata Handsome_Kichwa chake ni empty.
2.Ukimpata Genius_Yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic, hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno.
3.Ukimpata Tajiri_ Hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.
4.Ukimpata Mfanyakazi hodari_ Hana muda wa kuwa karibu na wewe, muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha/pesa.
5.Ukimpata mnyenyekevu_ Mfukoni huwa ni 0%
6.Ukimpata anayekupenda kwa dhati_ Anakuwa siyo type yako, yaani hana sifa unazozitaka, au hana muonekano ule unaoutaka wewe.
7.Ukimpata msomi_ Hasikilizi ushauri wako anakuona boya tu, huna point za maana mbele yake.
8.Ukimpata yule Smart_ Ni muongo kupita kiasi na player.
Hivyo basi, fuata moyo wako na shukuru kwa kila hali. Maana toka anguko la ADAM hakuna mwanadamu mkamilifu, hata wewe hapo haujakamilika.
__________________________________
SHARE kama umeipenda
0 Maoni