EX: hellow, mambo!!?
MKEO: poa tu, nani..?
EX : aah! ulifuta hadi namba yangu au sababu umeolewa?
MKEO : hayo hayakuhusu, sema we nani..?
EX: mi Mcharo.
MKEO: Mungu wangu! Mzima wewe? za siku?
EX : nzuri tu, nimekumiss...
MKEO: we si uliniacha bwana...
EX : hapana, hujajua tu ninavyoumia hasa niliposikia umeolewa..
MKEO : ndo hivyo, ninegefanyeje sasa?
EX: bado unaishi kwenye moyo wangu..
MKEO : mhh!! asante.
EX : nipo mkoani kwenu hapa...
MKEO: mhh! kweli? umefikia wapi?
EX: nipo lodge flani huku chuda. nimekuja kwenye seminar mara 1..
MKEO : haya bwana karibu kwetu..
EX: mhh! namuogopa mumeo.
MKEO : hofu yako tu...
EX:njoo hata unisalimie jamani, nimekumiss sana.
MKEO: mmh! wa kunimiss ntakuwa mimi?
EX: niamini bado nakupenda, naomba uje...
MKEOMKE:mhh! kutoka hapa ishu labda kesho mume wangu akienda kazini...
EX: poa, saa ngapi..?
MKEO: anaenda kazini asubuhi, hivyo mimi nitatoka mida ya saa nne.
EX: poa,ntakuambia chumba nilichopo.
MKEO: wee tafadhali sana babu siingii lodge mimi ni mke wa mtu usijisahaulishe.
EX:please, sitakufanya chochote...siwezi kukulazimisha usichopenda kufanya niamini.
MKEO: we...ndio mnasemaga hivyo hivyo.
EX :please, siwezi niamini.
MEO: sawa lakini sitakaa sana..na ni story tu sitaki mambo mengine.
EX: poa, usijali my
MKEO : sawa
Hivi ndivyo ma EX wanavyoharibu ndoa za watu. Mkeo akishaanza kuchat na EX WAKE..UMEKWISHA NDUGU YANGU...ni ngumu kuushinda ushawishi wa EX labda kwa mwanamke 'matured' (anayejitambua)
*BAADA YA KUONANA HIYO KESHO*
MEO : ila sijapenda uliniambia hutanifanya kitu afu umenilazimisha mpaka tumesex...sijapenda kwakweli.
EX: nisamehe my..nilishindwa si unajua tuliko toka...lakini asante nimeenjoy sana. Bado uko na utamu wako mamiii.
MKEO: sijapenda, unadhani mume wangu akijua ntafanyaje?
EX: hawezi kufahamu, atajuaje sasa?
MKEO: tambua tu hivyo..(ghafla) "usitume text amekuja.."
EX: poa, usiku mwema..
*BAADA YA MWANAUME KUONDOKA*
MKEO: nambie....
EX: poa kaondoka?
MKEO : ndio ila akija ntakuambia.
EX: poa ila mi keshokutwa naondoka, uje uniage.
MKEO: ntaangalia asipokuwepo.
EX: mhh! Jamani sasa akiwepo je?
MKEO : mhh! sijui ntaaga naenda kwa rafiki yangu. ntakuja ila sitakaa..
EX: sawa...nakupenda sana.
MKEO: nakupenda pia..ila usirudie kuniumiza.
EX: sitaweza rudia tena dear..
* Hivyo ndivyo mwanamke mjinga akiingia kwenye mtego wa ex inavyokuwa ngumu kuutoka . Kumbukumbu zikirudishwa nyuma ni ngumu kuepuka huu mtego. Na haya mahusiano yanaweza kudumu hata miaka 6 mume asijue...
Sasa kumbuka ex ana mke wake na mke wake anaweza kuwa na ex wake pia ...je wangapi tuko salama? VVU/UKIMWI bado upo. Ewe mwanaume ukiona dalili mbaya za mawasiliano kwa mke wako...tafadhali...usisite kufanya maamuzi ya kuokoa nafsi yako hakika MUNGU atakuwa upande wako.
Na wewe mwanaume unayetembea na mke wa mke wa mtu kisa eti ni ex wako...fikiria tu mke wako anakufanyia hivyo!! Maumivu utakayopata ndiyo anayopitia mume wa ex wako akijua. Wazungu wanasema "what goes around comes around" hivyo hakuna ubaya unaenda bure!!
Kama umeipenda Share kwa wengine
0 Maoni