Zifuatazo ni sababu, umuhimu na jinsi ya kuzitumia shanga kiunoni wakati wa tendo la ndoa,
*UNAWEZA UKAZIVAA KAMA UREMBO KWA MUMEO*
Kiuno cha mwanamke kikivalishwa shanga kinapendeza na kuongezeka mvuto, hivyo shanga ni miongoni mwa pambo unalopaswa kujipamba nalo Kwa ajili ya mumeo tu.
*HUFANYA KIUNO CHA MWANAMKE KIONEKANE VIZURI PINDI ANAPOKATIKIA MUMEWE*
Naam, hapo ni wewe na mumeo chumbani. Hata kama mke si mtaalam wa kukata kiuno lakini kutokana na usaidizi wa shanga hizo kiunoni utaonekana mtaalam machoni mwa mumeo.
*UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUMPA HAMU MUMEO YA KUPATA RAHA NA UTAMU *
Kutokana na utafiti ni kwamba, asilimia kubwa ya waume wanapoona kiuno kimevalishwa shanga hujawa na hamu ya tendo la ndoa, hivyo ukimvalia mumeo shanga huenda ikawa sababu mojawapo ya kumpa hisia za tendo la ndoa.
*UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUJIONGEZEA RAHA WEWE MWENYEWE (MWANAMKE) WAKATI WA KUPEANA RAHA NA UTAMU*
Shanga humuongezea mwanamke raha na utamu pale mumewe anapozishika na kuzichezeachezea wakati wa tendo la ndoa kama style mnayotumia inaruhusu.
*HIZO NI BAADHI TU NA FAIDA ZA SHANGA, KATIKA SITA KWA SITA *
*Najua wengi humu hamna shanga majumbani mwenu, kuanzia muda huu ziweke katika ratiba ya mambo ya kumfurahisha mumeo, NI muhimu pia
Share
0 Maoni