Ticker

6/recent/ticker-posts

SABABU ZINAZOPELEKEA KUJAMBA UKENI


*KUTOJUA KUJISAFISHA UKE*

kwa wale wanawake wote wasiojua kujisafisha vizuri uke tatizo hili lazima likupate

kwahali hiyo basi UKE inatakiwa kuusafisha vizuri na kwa makini na inavyotakiwa pia hakikisha baada ya kuusafisha futa na kitaulo maalum kwaajili ya kufutia sio kanga ulioshindia kwenye mavumbi unaenda kujifutia baada ya kuoga.

*UTUMIAJI MAJI MOTO*

ukiwa unapenda kusafishaa Uke wako kwa majimoto tatizo hili lazima likukumbe maana maji ya moto hulegeza uke na kuufanya uwe unatoa hewa chafu wakati wa kufanya tendo la ndoa hata baada ya kufanya Uke inatakiwa usafishekwa maji baridi ni mazuri na yanasaidia kubana misuli ya uke pamoja na kuwalinda bacteria ambao ni walinzi wa uke kwa ujumla.

*KULEGEA KWA MISULI YA UKE*

Pia ikiwa imelegea inasababisha vijambo kwenye Uke kutokana na uke kuwa wazi

fanya mazoezi ya kgel kubana na kuuachia uke

*ULALAJI NA SHAHAWA UKENI*

Kwa wale wanawake wasiojisafisha ukeni baada ya kufanya tendo la ndoa hali hii lazima itakukuta na pia wanawake hamtakiwi kulala na shahawa ndani ya uke unalegeza uke na kupoteza joto la asili la uke , vilevile kulala na shahawa bila kunawa unasababisha uke kutoa harufu mbaya

*USAFI PINDI TUMALIZAPO TENDO LA NDOA*

Unapomaliza kufanya jimai mfute mmeo na wewe ujifute, nendeni bafuni ikibidi muoge sio ukimaliza unageukia upande wa pili unakoroma shawaha kibao ukeni uke unapoa na kutepeta.

ukifika bafuni chuchumaa kwa muda kuruhusu shahawa zitoke kwa urahisi jikamue kidogo ili shahawa zitoke vizuri

Kisha osha uke kwa maji mengi usitumie sabuni osha na maji baridi kwani maji baridi yanarejesha uke nduguzangu ok kisha jifute vizuri kwa kitaulo safi uke ubaki kikavu

Toa maoni 


          Share

Reactions

Chapisha Maoni

0 Maoni

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();