1-Wanawake wa mikoa mingine wanatafuta wanaume wenye pesa,
Ila wanawake wakitanga wanatafuta wanaume wanaojali nakupenda,
2_ Wanawake wa mikoa mingine hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia ukubwa wa mifuko yao,
Ila wanawake wakitanga hupima thamani ya wanaume wao kwa kuangalia kiwango cha busara na hofu ya Mungu, na kwa vipi wanajiheshimu mbele ya wapenzi wao,
3_ Wanawake wa mikoa mingine huvunja mahusiano kwa sababu zisizo na mshiko,
Ila Wanawake wakitanga wana uvumilivu wakifahamu kwamba kila jambo hutokea kwasababu,
4_ Wanawake wa mikoa mingine hufikiria kuhusu mambo yaliyopo sasa,
Ila wanawake wa Kitanga hufikiria kuhusu yajayo,
5_ Wanawake wa mikoa mingine wanapenda kuwa na wanaume wengi wanaofatilia,
Ila Wanawake Wakitanga wanafahamu sheria ya uhitaji (Vitu rahisi vina wateja wengi)
6_ Wanawake wa mikoa mingine wanahitaji pesa ili kununua make ups
Ila Wanawake Wakitanga wanahitaji pesa kwa ajili ya kufanya mipango ya maendeleo,
7_ Wanawake wa mikoa mingine huumizwa na mwanaume mmoja na kuwa na kinyongo na wanaume wote,
Ila Wanawake Wakitanga wanajua kwamba wanaume wote sio sawa,
8_ Wanawake wa mikoa mingine wanajifunza,
Ila Wanawake Wakitanga Wanajua,
Toa maoni yako hapa 👇🏾
0 Maoni