Ticker

6/recent/ticker-posts

MKE WAKO NI MZURI KULIKO WANAWAKE WA NJE*Your OF YOU IS BETTER THE BODY WOMEN


Swahili and English 

❤Baadhi ya Mwanaume anapompenda mwanamke humuona mzuri kuliko wanawake wote duniani lakini akimuoa baada ya muda.

❤Huwaona wanawake wengine wa nje kuwa ni wazuri kuliko mke wake kwa nini?

❤Mtu mmoja alikwenda kwa mmoja wa  wazee wenye Hekma na kumshtakia juu ya suala hili, kuwa hapo mwanzo alikuwa..

❤Akimuona mke wake kuwa ni mzuri kuliko wanawake wote duniani lakini alipomuoa tu na kupita muda kidogo akaanza kuwaona..

❤Wanawake wengine kuwa ni wazuri kuliko mke wake hivyo akataka amsaidie ushauri juu ya hilo.

❤Yule mzee akamwambia 
"Je ni kufahamishe ni kitu gani kinachosababisha juu ya jambo hilo?"

Yule mtu akaitikia "ndiyo" kuwa amfahamishe.

❤Mzee akamuambia "Lau kama ata ungeliwaoa wanawake wote wa duniani lakini angelipita mbwa barabarani ungemuona kuwa ni mzuri kuliko wanawake wote uliowaoa."

❤Yule mtu akamuuliza "ni kwa nini unayasema hayo."

❤Mzee akamjibu "Dosari haipo kwa mke wako isipokuwa kawaida ya mwanadamu anapopata jambo fulani huwa na tamaa ya kupata jingine.

❤Binadamu huwa hatosheki kwa kila anachokiona mpaka atakapoingizwa kaburini.

Ewe kijana kutotosheka kwako mpaka ukawa unawaona wanawake wa nje kuwa ni wazuri kuliko mke wako, 

❤Ni kwa sababu ya kutovifumbia macho vile vilivyokuwa si halali kwako."

❤Mzee akamuuliza yule mtu 
" Je nikujulishe jambo ambalo litakufanya umuone mzuri mke wako kila siku?"

Yule mtu akaitikia "ndio nijulishe."

❤Mzee akamuambia " *fumbia macho wanawake wa nje na mchukulie Mkeo kama umemuoa Leo na uache Mazowea katika NDOA.*

Ukifanya hivyo kila siku utazidi kumuona mzuri mke wako."

♥️♥️Dumisha_Ndoa_Yako♥️♥️

English 

❤Some man when he loves a woman he sees her as the most beautiful woman in the world but he marries her over time.

❤Why do you consider other foreign women to be better than his wife?

❤Someone went to one of the Wise Elders and accused him of this, that in the beginning he was ..

❤When he saw his wife as the most beautiful of all women in the world but when he just married her and after a while he started seeing them ..

❤Some women are better than his wife so he wanted to help her with advice on that.

❤The old man said to her

"Is it to inform you what is causing the matter?"

The man replied "yes" to let her know.

❤The old man said to him "If you were to marry all the women in the world but if he passed a dog on the street you would see him as the most beautiful of all the women you married."

❤The man asked her "why are you saying that."

❤The old man replied, "There is nothing wrong with your wife except for the fact that when a person gets something, he or she has a desire to get another.

❤Man is never satisfied with everything he sees until he is taken to the grave.

O young man, your dissatisfaction until you see foreign women as better than your wife,

❤It's because of not turning a blind eye to what was wrong with you. "

❤The old man asked the man

"Should I tell you something that will make you look good on your wife every day?"

The man replied "yes let me know."

❤The old man said to him "* close your eyes to the foreign women and take your wife if you are married to her today and leave Mazowea in MARRIAGE. *

If you do this every day you will find your wife more beautiful. "

♥ ️ ♥ ️Keep_Your_Marriage ♥ ️ ♥ ️


            Share

Reactions

Chapisha Maoni

0 Maoni

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();