Ticker

6/recent/ticker-posts

ZIFUATAZO NI DALILI KUU ZA MWANAUME ANAEKARIBIA KUFIKA KILELENI

 

ZIFUATAZO NI DALILI KUU ZA MWANAUME ANAEKARIBIA KUFIKA KILELENI

UTANGULIZI: Siku zote uwapo katika mapenzi fahamu kuwa unapaswa kumridhisha mpenzi wako katika tendo mfanye ajisikie raha pindi muwapo chumbani inakubidi uwe mwanamke wa kileo ujitahidi kuwa mbunifu katika mapenzi kwa kujituma pindi mnapokuwa chumbani na mpenzi wako, jaribu kushughulika tumia viungo vyako vya mwili katika kuamsha hisia za mwandani wako kabla ya kuanza nae kufanya mapenzi ili kuhakikisha mpenzi wako anapata raha na inakuwa ni njia nzuri ya wewe kumfanya mpenzi wako ahisi kuwa wewe ni muhimu kwake kutokana na mahaba unayompa. 

ZIFUATAZO NI DALILI KUU ZA MWANAUME ANAEKARIBIA KUFIKA KILELENI
- Pindi mwanaume anapokuwa katika tendo la ndoa ni rahisi sana kumtambua pindi anapohitaji kumwaga wazungu/maji ya uzima au shahawa kwani dalili kubwa ya mwanaume anapotaka kumwaga mbegu zake mara nyingi hubainika katika kasi ya kusex kwa maana mwanaume anapokuwa katikati ya mapaja ya mwanamke kipindi anaanza safari huanza kwa kasi ya kawaida ila pindi anapokaribia kutaka kufika kileleni ile kasi aliyoanza nayo hubadilika na utahisi kasi ya ajabu mpaka atakapomaliza kumwaga mbegu zake.

Hii ndio dalili kubwa kwa upande wa wanaume ingawa zipo nyingi ila hii ni kubwa ambayo inahusisha wote wenye jinsia ya kiume pindi wakiwa katika sita kwa sita na wapenzi wao tofauti na dalili zingine zinategemea ila hii haitegemei ni kwa wanaume wote.

USHAURI KWA WANAWAKE: - Napenda kuwashauri wanawake wote ambao wapo katika mahusiano ya kimapenzi wajaribu kuwa wabunifu katika mapenzi, mpe mpenzi wako mapenzi yote toka moyoni mwako. Usidanganywe kuwa mapenzi ni mitishamba hakuna dawa ya mapenzi kwa mganga ila dawa unayo wewe mwenyewe mridhishe mpenzi wako kwa kumpa vitu vipya katika mapenzi halafu uone je, penzi lako kwa mwenza wako utachangia na wenzako

SASAMBU SASAMBU LEO NASASAMBUA

*```HII KWA  WANAWAKE WASIOJITAMBUA*````

_Mwanamke kujielewa._
_Mwanamke kujitunza._
_Mwanamke kujiheshimu._
_Mwanamke usafi._
_Mwanamke mazingira._
_Mwanamke utulivu._
_Mwanamke ubunifu._
_Mwanamke mapambo._
_Mwanamke kujiachia._

_Mwanamke kama mwanamke lazima ujue kuwa wewe una nafasi gani kama mwanamke na una umuhimu gani(maana kuna wanawake wako hivi mimi ni mwanamke ila hajitambui umuhimu wa yeye kua mwanamke sasa kama hujitambui basi we ni mwanajike si mwanamke._

_Mwanamke kujitunza_
_Mwanamke ujitunze inamaanisha ndani na nje sio kupaka lipsti na wanja laahasha_
_Ujitunze mbele za watu ujistiriuwe mkarimu, ulinde ulimi wako na sauti yako na hicho kikufanyacho kuwa wewe mwanamke(uchi wako) Usiwe kama chujio bibi_ 

_Mwanamke kujiheshimu_
_Jaman heshima hii nje na ndani kuna watu wanamisaut kama spika za sabufa unapita mtaani watu wote wapata habari huyo apita hiyo sio stara ya kike tu waongea na mumeo wewe ndio upo juu,kibri hiyo sio heshima ata watoto wako watakudharau._
Mwamke usafi na mazingira,hii itakupa sifa wewe kuwa fulan mashaallah ajua kujitunza ajua kutunza mji wake utakuta mtu yupoyupo hauzi mkaa lakin anafana na kaka wa stoo ya mtaa kuanzia yeye mchafu hadi mazingira ya nyumba au chumba hapo ndugu wajidhalilisha pia wadhalikisha familia yako matusi yote yaelekeza huko kwenu ati hajafunzwa za huoni vyema_                                                                 
Mwanamke ubunifu na mapambo._
_Mtoto wa kike lazima uwe mbunifu 1,mapishi 2,kitandani 3,chumba chako na mapenzi yako ubunifu wa chapuka sio kila siku bamia mtelezo haihusu pia bamia lakaangwa at eeee ububinifu kitandan au mapambo penda kupadiki stail ya chumba chako na kitanda chako kipambe kwa vitu mbalimbali kama vile shuka  nzuri viua vidogo vidogo au kanga yenye kaujumbe mzuri na mapenzi pia sio kila siku bwana akuanze we pia uwe na  katabia cha kuchunachuna chunusi hatiamae wamtumbua cha kwa babu juma nae atakupigia kwakwaru kwakwa._

Mwanamke kujiachia_
_Jaman wanawake wengine eti akimuona mumewe ndio amwita mwanae aletewe kanga ajitande wakati wote alikua anatembea kama shetan maana amuna mume waanza malemba yasio na mpangilio na mishungi isiokua umaridadi haihusu mke kwa mume ni kujiachia kujipendezesha ili kumvutia zaid mumeo. 

Reactions

Chapisha Maoni

0 Maoni

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();