Ticker

6/recent/ticker-posts

KUOLEWA NI NDOTO KUU YA KILA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA ILA KAMA UNA TABIA HIZI UTAZEEKEA NYUMBANI

 


KUOLEWA NI NDOTO KUU YA KILA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA ILA KAMA UNA TABIA HIZI UTAZEEKEA NYUMBANI

*🍇1. Tamaa ya utajiri🍇* 

Fedha na mali nyingi pasipo kutambua kuwa vitu hutafutwa, hapa wengi hupoteza nyota zao kwa kukataa wengi wenye kipato cha kawaida na kujirahisisha kwa  wenye nazo ambao kwa bahati mbaya wengi wao sio waoaji bali ni wahuni tu na watu wa anasa na kula bata mjini

*🍇2. Dharau,🍇* 

Maringo, kiburi na mashauzi yaani we kila mtu akikusogelea na kujaribu kuzungumza na wewe unaanza kumpandisha na kumshusha kisha una msonya. Wengi huishia kukupotezea wakijua either umewadharau au tayari una mtu wako ndio maana nyodo nyingi.

*🍇3. Kujiweka mbali na ibadah🍇* 

Hakika lazima wahuni watapata nafasi kwako na kukuchezea mpaka uchakae . ALLAH MTUKUFU ndo  anaetoa BARAKA ukimuomba hakika atakuepushia kuingia midomon mwa dubu na fisi wanaokuwa wakikuvizia na kuja kama MALAIKA. Atakupa ufahamu wa kuwatambua na kuwashtukia mapema.

*🍇4. Kuvaa nguo za ajabu ajabu kama changudoa🍇*

Sijui ni nani aliyewaambia kuwa mkivaa hivyo mnapendeza! Unakuta binti unavaa kama mcheza show za Casino yaani ukipita nguo yaonyesha kila kitu ukiinama ndio balaa kabisa yaani kimin kinafunuka kila kitu nje nje kwa style hiyo nani atakupeleka kwao? 

*⤵5. Kujipaka marangi ya ajabu ajabu usoni na kudhihirisha mapambo hayo🍇*

*🍇6. Kupenda kujirahisisha au kujipendekeza pendekeza kwa wanaume,🍇*

yani ukiguswa kidogo tu twende.

*🍇7. Kuwa na picha karibia 500 Facebook,🍇* Twitter nk halafu picha zenyewe hazieleweki yani zimepigwa katika mavazi au mapozi ya ajabu ajabu, mara umebinua makalio, mara tumbo, mara mdomo,

*🍇8. Kila unachofanya basi unakimbilia kupost mfano kwenye Facebook🍇* 

Na kadhalika

 nyinginezo hata ukienda haja basi lazima upost.

*🍇9. Ni mtu wa maneno maneno🍇*

 yani we kila unachokiona unaongea na kuropoka ropoka tu hauna break! mwanamke gani?

*🍇10. Huna mawazo ya malengo🍇* 

Yaani we kwenye kichwa chako kumejaa umbea tu ya maisha ya watu yasiyokuhusu.

*🍇11 Mizinga.🍇*

 Yani siku ya pili tu baada ya kukutongoza unaanza " honey nataka galaxy" Htc" Huawei" mara baby nimeona nguo nzuri mara ooh baby yaani njaa inauma'' , utasindikiza harusi za wenzio hadi upigwe alama..

*🍇Waswahili husema, "Kama mzuri, Olewa"🍇*

*🍇Jihadhari na tabia hizo🍇*

Mwisho wa makala  asante kwa kusoma mpaka mwisho wa story yetu karibu kwa maswali maoni na ushauri ikiwa una tangazo unahitaji tukutangazie Humu pia

*Fahamu jinsi ya kuwa milionea  Kwa mtaji wa Tsh:200,000 kupitia smartphone  njoo inbox nikupe huo mchongo*Whatsapp 

kama bado huna App ya MAHABA tafadhali Download kuendelea kupata masomo yetu👇
Reactions

Chapisha Maoni

0 Maoni

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();