MWANAMKE
Simaanishi utundu kwamba umkere mumeo, laa hasha utundu wa mapenzi na kuziteka akili zake uyo mwanaume.
Mkiwa pekeenu wawili ndani ya nyumba au popote pale usikubali kumuacha mumeo anaangalia tv eti na wewe unachezea simu au unafanya mambo yako binafsi.
Ooooh! dada yangu
Huo muda uko na mumeo ndani uchukulie huo muda kama almasi, mana unaweza ukafanya mambo kwako utayaona madogo lakini kwake atajiozea juu yako.
Moja Wa Wosia wa Khaarijah kwa Binti yake Siku ya Ndoa yake Alimuhusia Hivi.
"Kuwa Kwake Mume Wako ni Ardhi naye Kwako Atakuwa Mbingu na Uwe Kwake Tandiko Naye Atakuwa Kwako Nguzo wala Using'ang'anie Kitu Atakuchukia na Usiwe Mbali nae Akakusahau na Akikusogelea nawe Msogelee Zaidi yake"
Dada Yangu,,Jitupe Kwenye Viungo Vya Mumeo Wala Usiwe Mbali Nae.
MWANAMKE.
Chukua Mfano huu.
Tafuta Ndizi moja imenye Taratiibu, Halafu jisogeze alipokaa Mume Wako,, umtanietanie umpigepige uku unajipakatisha miguu yako izunguke kiunoni mwake
Kata ndizi kipande anza kula nae mdomo kwa mdomo mpaka iishe huku umemshikilia unampapasa papasa mkiwa faragha pekeenu popote pale haijalishi wapi.
Muongelee pumba tu uku unamlegezea sauti na Macho na kumbuka ukiwa na mumeo Kumvalia Vijiguo Vifupi,,Lainii Vyenye Kubana na Vya Mtego mtego 24hrs
Sio unamvalia dera utafkiri unaenda mnadani
Ooooh! Utayaharibu Mambo Dada yangu.
Jisogeze muongelee yale maneno yatamuongeza ashki mda wote ,Tumia Muda wako Kama Vile Hamnazo Kumbe Ukotimamu Kabisaa, Mkiss kwa Wingi Jidekeze Na Kujinyonganyonga kwa Wiingi Huku ukiwa Ndan ya Tabassam Na huku mnachezeana,
Kiukweli asikwambie mtu raha yake uisikie tu hasa mkiwezana, maana mkitizamana tu bila ya kuongea kila mtu muwasho unamuanza na Kumpanda
Na hiyo inakuja iwapo mwanamke atajiwekea hivo na kuzisogeza hisia zake mda wote na uyo mume wake.
WEWE NI WA KIKE DADA YANGU JIACHIE KWA MUMEOO.
🛌🏿🛌🏿

0 Maoni