MWANAMKE USIFURAHIE KUTONGOZWA UKAJIONA UNAPENDWA BALI FURAHIA KUWA TAYARI UNAE UMPENDAYE💯


Kuna faida kubwa kwa Mtu kuwa na mtu UMPENDAYE kuliko kuwa na mtu AKUPENDAYE ila wewe humpendi kwa sababu furaha na amani halisi inaanza na UTASHI wako mwenyewe💕

Wengi tunajikuta njia panda kwa sababu ya kutaka kujua UPENDO WA MWINGINE KWAKO huku ukisahau kwamba:-

👉 UNAWEZA KUPENDWA NA MTU KWA SABABU ZAKE NA USIJUE JAPO KUNA UNAYO FURAHIA UKIAMINI NI UPENDO 💘.

Utashi ni mapokeo ya MOYO baada ya uhitaji wa NAFSI na hapo ndipo UPENDO hujengwa, ndo Maana hata ninasema ANZA WEWE KUPENDA Kabla ya KUPENDWA kwani Kuna faida, Maana ukimpenda mtu tafuta KUAMINIWA KATIKA UPENDO 💘

Ndipo utaona MAPENZI YANAVYO WEZA KUJITENGENEZA MENYEWE japo ni jambo linalohitaji Muda mpaka kufikia FURAHA NA AMANI YAKO 💯

Download Apps hii upate burudani ya   kutazama video bure

Uwiano wa UPENDO 💘 haujawahi onekana, Ila kilicho kuwepo katika MAPENZI ni kukubari kwamba NAWEZA KUJENGA IMANI YA MWINGINE KUONA NAMPENDA ndipo iwe rahisi wewe kupendwa, Mfano hai :-

👉 MWANAMKE ANAWEZA KUWA NA MAWASILIANO NA MWANAUME ILA YEYE KAMA YEYE HAJAJENGA WAZO LA MAPENZI ILA MWANAUME ALIOMBA MAWASILIANO AKIWA NA LENGO LA MAPENZI.

Lakini Mwanaume akiombwa MAWASILIANO na Mwanamke huhisi Mwanamke kajigonga kwake 😂😂

Sio kila Mwanaume anapokutongoza anamaanisha katika UPENDO WA DHATI 💘 kwani tayari wewe ni FAHARI YA TULIZO LA SHAUKU YA MWANAUME 💯

Muda Mwingine Mwanaume sio kama anahitaji uwe nae zaidi ya HAJA ZAKE ZA MWILI na hapo hapo Kuna wanaume wanao kutazama kama PAMBO LA MACHO YAKE kwamba anapokuona anasuuzika nafsi yake ila UKIMPA NAFASI AKUMILIKI ANAKUACHA MARA MOJA😂

Nataka kusema nini :-

👉 KUNA FURAHA NA AMANI YA HAKIKA WEWE KUMPENDA MTU BILA KUTAKA KUJUA UPENDO WAKE KWAKO.

Ni mateso makubwa kutafuta kujua KAMA UNAPENDWA usipokuwa makini UTAPATA MARADHI YATOKANAYO NA MAWAZO huku mwenzio akiendelea na 50 zake 😂😂

Mwisho wa makala  asante kwa kusoma mpaka mwisho wa somo letu karibu kwa maswali maoni na ushauri ikiwa una tangazo unahitaji tukutangazie Humu pia

*Fahamu jinsi ya kuwa milionea  Kwa mtaji wa Tsh:200,000 kupitia smartphone  njoo inbox nikupe huo

kama bado huna App ya MAHABA tafadhali Download kuendelea kupata masomo yetu👇