FAIDA 7 ZA BUSU KIAFYA
Busu hutoa maada za kikemikali ndani ya ubongo ambazo humfanya mtu ahisi furaha. Miongoni mwa maada hizo ni homoni za serotonin, dopamine na oxytocin.
Aidha, busu humuongezea mtu hali ya kujiamini kwa sababu humfanya ahisi kuwa ni mtu anayependwa na na maridhawa. Utafiti mmoja wa nchini Ujerumani umebainisha kuwa wanaume ambao wanapewa busu na wake zao kabla ya kwenda kazini hupata mafanikio sana.
Sasa zifuatazo ni faida saba ambazo busu litakupatia:
1. Busu hukusaidia kupunguza shinikizo la damu.
2. Busu hukuondolea mitukutiko ya maungo na maumivu ya kichwa.
3. Busu hukomesha meno kuoza.
4. Busu hukusaidia kuchoma kalori.
5. Busu huongeza hali ya kujiamini.
6. Busu hukufanya uonekane mdogo.
7. Busu ndio kipimo cha mafungamano ya kimapenzi.
Share
0 Maoni