Hii ni njia nzuri na salama kabisa ikitumika vizuri inaweza kusaidia Sana katika hili zoezi la kuingia kwa MIMBA. Watu wengi wameitumia njia hii na imeweza kuonesha mafanikio ,makubwa.
Ninaposema mate usidhani ni Ute utokao mdomoni: la hasha! Mate ninayotaja hapa ni ule Ute unaotoka kwenye uke.
NAMNA YA KUFANYA.
Kwa kuwa mwanamke hupata hedhi kila mwezi basi huwa mkavu kabisa. Baada ya siku ya 4 au 5 huenda akatokwa na majimaji meupe au ya rangi ya maziwa.
Maji haya ndio huitwa mate.
Kwahiyo mwanamke adumbukize kidole gumba au Cha shahada ili apate kuushika Ute huu, Kisha agusanishe vidole.
Akiona kwamba
Ute unateleza basi yai la kutunga mimba halijakomaa.
Hapa anaweza kushiriki kitendo bila ya wasiwasi wakushika mimba.
Bali akiona Ute unaganda mithili ya gundi,basi ujue yai limekomaaa na akishiriki tendo la ndoa ,Kuna uwezekano mkubwa ,wakutunga mimba.
Share
0 Maoni