Ticker

6/recent/ticker-posts

TUNDA LA MKWAKWANI Sehemu ya 3


 TUNDA LA MKWAKWANI

Sehemu ya 3

Na Edson Tirani

______-_____

Nilimpigia simu Aisha na kuongea nae na kisha zikapita dakika kumi nikaona hatokei, mbona hautokei Aisha na unasema upo karibu na hapa mpendwa,nikamuuliza aisha, oh mimi naona aibu kuja hapo ulipo mana nina muonekano mbovu siendani na hadhi yako, alisema Aisha, ujue wewe Aisha hebu jikubali e jinsi ulivyo ndivyo jins alivyopenda mungu hebu acha uoga ujue nakupenda sana aisha please njoo basi, na mm nilimuaminisha Aisha, nikakaa tena kidogo pale stendi, mara nikahisi mtu ananigusa nyuma yangu kwenye bega, ilenilivyogeuka nyuma tu sikuamini macho yangu hayakuamini kwani nilikuta mschana mwenye sura nzuri akiwa ajifunika hijabu nyeusi, nilivyomt@zama kwa chini alikuwa amejifunga kitenge kilicho toboka na kimepauka huku akiwa amevaa blauz ya kijivu akiwa kainam@ tu kwa aibu,omba omba huyoo aliropoka mpiga debe mmoja hivi akimlenga Aisha, nilimtazama kwa jicho kali kwakuawa nilivaa miwani ila tu hakuniona,Aisha ni wewe, nikamuuliza Aisha, ndiyo mimi huku akiwa ameinama chini, alisema Aisha, I love you Aisha, nikamueleza yeye, asante hata mimi nakupenda alisema,Aisha, hebu tuondoke nilimueleza Aisha,nikamshika mkono ilituondoke Aisha alisita nikamshika tena mkono akakubali na tukaondoka na kupanda teks na tukamuambia DRIVER tupeleke dukani kamanda , haina shida driver alikubali, tukaenda dukani, niaje muuzaji nilikuwa mm nikimuambia muuzaji, a poa karibu alijibu muuza duka,hebu aisha njoo uchague nguo ya h@dhi ya juu hataikiwa laki 4 nitalipia nilimuambia Aisha, nikaona anatabasamu Aisha, chagua peya nne kama magauni hata sketi, sawa alijibu aisha, aisha alichagua) mavazi pea 4 gauni la laki 4 sketi na blauz pae 3 laki 8  tukanunua na begi la mgongoni tukaweka zile nguo na kuondoka, unaonaje tukipitia kwanza hotelini nfipo tuende nyumbani kwenu, nilimuambia Aisha, sawa alikubali na tukaenda ktk katika hotel iitwayo Ahmed Hotel ilikuwa ni hotel maarufu sana pale Mkwakwani, tukachukua na chumba af nikamuambia Aisha akaoge avae nguo mpya,alikubali na akaenda kuog@.


Itaendelea Alhamisi ijayo.

Share kwa mwingine

Mwisho wa makala  asante kwa kusoma mpaka mwisho wa somo letu karibu kwa maswali maoni na ushauri ikiwa una tangazo unahitaji tukutangazie Humu pia

*Fahamu jinsi ya kuwa milionea  Kwa mtaji wa Tsh:200,000 kupitia smartphone  njoo Inbox niku unganishe

kama bado huna App ya MAHABA tafadhali Download kuendelea kupata masomo yetu👇
Reactions

Chapisha Maoni

0 Maoni

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();