Tuangalie kwanza thawabu anazo zipata mwanamke kwa ajili ya kuolewa
1: kila jambo analo lifanya nyumbani kwake huandikiwa thawabu za sadaka
2: Akimuangalia mmewe na akacheka akafurahi huandikiwa sadaka
3: akistarehe nae huandikiwa thawabu mpaka waoge
4: akibeba mimba mwanamke huyo Huandikiwa thawabu mpaka Ajifungue
5: siku hiyo Ameza hufutiwa dhambi zake zote japo ninyingi kuliko bahari
*ALLAH AKBARU*
Mwanamke mwenye kutekeleza haki za mumewe mtume s.a.w alimsifu katika sifa ya nne
*MWANAMKE MWENYE DINI*
Na mwanamke mwenye dini sio yule anae jua kusoma sana Qur'aan wala sio yule ambae amehifadhi sana Qur'aan wala sio yule ambae anajua kadha wa kadha kuhusu ndoa
*BALI NI YULE MWANAMKE MWENYE KUTEKELEZA HAKI ZA MWENYEZIMUNGU NA ZA MUME WAKE
*
Mtume s.a.w alisema
Akiswali mwanamke sala zake na akafunga mwezi mtukufu wa Ramadhani na akamtwi mme wake ataingia peponi kwa mlango wowote autakao
pia huombewa msamaha na viumbe
Ndege Angani
Samaki baharini
Malaika mbinguni
Vyote vinamuombea msamaha mwanamke huyo
Hadithi ya pili ikasema
Mwanamke atakae fua nguo za mme wake hupandishwa daraja 1000
Anasamehewa madhambi 1000
Na anaandikiwa thawabu 1000
Leo hii dada/mama/wake zetu wanachukua nguo za waume zao wanasukumia wa wafanyakazi wafue Innalillah wai.nnalillah rajiun
Hizo ndo thawabu wanazo zipata kina mama wewe uliyekua kwenye ndoa jichukulie thawabu izi wewe ambae haupo kwenye ndoa tufanyenihima tuingie ili nasi tuzipate izi thawabu,usichague mume kisa hana gari, nyumba, fedha ndo iwe sababu ya kukataa.. ndoa ni stara na stara ya mwanamke ni kuwa na mume wake
kama umeupenda ujumbe huu share na dada/mama/mke wako ili wapate kutambua wao ni wathamani kiasi gani mbele ya mungu na mumewe
Share kwa wengine.
0 Maoni