Ticker

6/recent/ticker-posts

FAHAMU KILICHO ONDOA FURAHA NA AMANI KATIKA MAPENZI

 


KILICHO ONDOA FURAHA NA AMANI ITOKANAYO NA MAPENZI NI VIPANDE VYA KUJAZIA MAPENZI🤔 


Kuna mgawanyiko wa vipande vya MAHUSIANO NA NDOA kukosekana kwa mtu uliye nae, na katika kuhangaika kutafuta kipande cha kujazia kwa kilicho meguka kwenye mtazamo wako kwa mwenza wako, ghafla anatokea mtu wa kujazia kipande ulichokuwa unakihitaji ndipo unapoweka rehani MAHUSIANO AMA NDOA YAKO😭

Maana kumpata wa HITAJI LAKO KWA UKAMILIFU nae akakuchukulia wewe ni wake wa chaguo lake ni zaidi ya bahati, shida kwa mtu huyo:-

👉 JE KWELI ANAKUPENDA? 

Mara nyingi wa FULL PACKAGE KWAKO YEYE HAKUONI KAMA WEWE NI WAKE WA CHAGUO LAKE. 

Hapa ndipo utajua HUJUI MAANA YA MAPENZI😂😂

Download Apps hii upate burudani ya   kutazama video bure

Kuwa na mtu ambaye umeweza kuendana nae na wewe kukubari kwamba utamtengeneza kwa kubadili choice yako kwake ndipo utaweza KUPATA UPENDO WA DHATI kuliko kama ungefuata kuwa na mtu ambaye amekamilika vigezo vyako ila yeye hana UPENDO nawe, mara yingi TABIA HALISI ndizo zinatuingiza kwenye CHOICE ngumu💯

Huwezi kutaka kupata HURUMA YA MTU WAKO ikiwa hujui kama huyo mtu wako anayo HURUMA JUU YAKO maana katika hilo ni wewe kuona uliye nae hafai kama hataweza kukupa utakacho, Ni kheri kuwa na Mtu ambaye amejitoa KUKUPENDA bila sababu yoyote.

Maana ukitaka kutafuta mtu wa kutimiza mahitaji yako hutampata na ukimuona hatakuwa kwako bila MASLAHI😂

Kizuri kina gharama, na gharama isiende Kwenye kisicho na THAMANI

Mwisho wa makala  asante kwa kusoma mpaka mwisho wa somo letu karibu kwa maswali maoni na ushauri ikiwa una tangazo unahitaji tukutangazie Humu pia

*Fahamu jinsi ya kuwa milionea  Kwa mtaji wa Tsh:200,000 kupitia smartphone  njoo inbox nikupe huo

kama bado huna App ya MAHABA tafadhali Download kuendelea kupata masomo yetu👇
Reactions

Chapisha Maoni

0 Maoni

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();