Ticker

6/recent/ticker-posts

*MAHABA*ELIMU JUU YA MATITI YA MSICHANA*EDUCATION ON A GIRL'S BREAST


Swahili and English 

Matiti ya   msichana huanza kukua na kunenepa pale msichana anapo fikia umri wa maika Kati ya 9-15♥️.

💧matiti yanaweza kukua na kuwa makubwa ya wastani au kuwa madogo yote iyo ni hali ya kawaida na hutegemea uzalishaja wa kichocheo Cha oestrogen na vinasaba (genetic traits) ambavyo msichana amerithi toka kwa wazazi wake.♥️

ndani ya matiti pia Kuna mirija inayopitisha maziwa na vifuko (sinuses) vinavyo tunza maziwa🌹.

💧kwa ndani ya matiti yana tezi zilizosukwa kwa mfano kama ilivyo ndani ya chungwa tenzi hizi hutengeneza maziwa wakati wa ujauzito na wakati wa kunyonyesha🌹.

kwa njee ya matiti yana chuchu inayozungukwa na ngozi nyeusi  (Areola)🌹.

💧ngozi hii huongezeka weusi wake wakati wa balehe🌹.

kwa wastani matiti huchukua takribanii  maiak 4 kukua kikamilifu ingawa kwa wasichana wengine matiti hukua na kukomaa kikamilifu ndani ya mwaka mmoja baada ya balehe🌹.

💧Matiti ya msichana ni sehemu nyeti ya mwili inayoweza kuzalisha msisimko wa kingono na mwitiko wa hisia🌹.

katika hali ya kawaida matiti ya msichana hukua kwa namna tofauti, titi moja linaweza kuwa kubwa kidogo zaidi ya jingine ingawa siyo lazima hali hiyo kutokea🌹

💧matiti ya msichana yakitomaswatomaswa yanaweza kuzalisha hisia za maumivu kidigo,endapo matiti yatashikwashikwa na mtu wa jinsia tofauti kwa ridhaa ya mhusika matiti yanaweza kuzalisha hisia za hamu ya tendo la ndoa na kusababisha mwitiko wa msichana unaosababisha tupu ya mbele (uke) kuzalisha majimaji mengi yenye utelezi telezi🌹.

msichana inampasa kuhakikisha kuwa hakuna mtu anayegusa au kushika matiti yake bila ridhaa yake mwenyewe na kwa sababu sahihi🌹.

💧Ni muhimu kukumbuka kuwa matiti ya msichana ya mwanamke huwavutia Sana wanaume hasa vijana na wanapenda Sana kuyashikashika🌹.

msichana anayeruhusu wanaume washikeshike matiti yake anajiweka katika hatari kubwa ya ngono hatarishi na kubakwa🌹.

*Kwa leo tunaishia hapa.*

*🌹🌹Dumisha afya yako🌹🌹*


English 

                   The girl's breasts start to grow and gain weight when the girl reaches the age of 9-15 ♥ ️.

💧the breasts can grow to be of medium size or small both of which are normal and depend on the production of estrogen and genetic traits that the girl has inherited from her parents. ♥ ️

inside the breast also There are tubes that pass milk and the sacs (sinuses) that feed milk🌹.

💧in the breast they have the glands woven for example as in the orange they make milk during pregnancy and while breastfeeding🌹.

on the outside of the breast they have nipples surrounded by black skin (Areola) 🌹.

Hiithis danger increases its blackness during puberty🌹.

on average the breasts take about 4 years to fully mature although in some girls the breasts grow and fully mature within one year after puberty🌹.

💧A girl's breasts are a sensitive part of the body that can produce sexual excitement and emotional response🌹.

Under normal circumstances a girl's breasts grow differently, one breast may be slightly larger than the other although this condition does not necessarily occur🌹

If a girl's breasts are stimulated, they can produce a small amount of pain, if the breasts are touched by a person of the opposite sex with the consent of the person, the breasts may produce a sensation of sexual desire and cause a girl's response that causes the vagina (vagina) to produce more fluid. slippery slide🌹.

a girl should make sure that no one touches or touches her breasts without her own consent and for the right reason🌹.

💧It is important to remember that a woman's girl's breasts are very attractive to men, especially young men, and they love to hold them🌹.

a girl who allows men to touch her breasts puts herself at greater risk of risky sex and rape🌹.

* Today we end up here. *

* 🌹🌹Keep your health🌹🌹 *


            Share

Reactions

Chapisha Maoni

0 Maoni

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();