Bonyeza hapa Download App ya MAHABA |
Kwa kawaida mwanamke bikra kutoka siyo mpaka akutane kimwili na mwanaume bali hata kwa njia ya kufanya mazoezi mazito kama vile kupanda baiskeli, kukwea miti na kadhalika, pia hata kwa uchunguzi wa kiafya au tiba inayohusisha sehemu za ukeni.
*_Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kumtoa msichana bikra:_*
Andaa vifaa maalumu ambavyo utatumia wakati wa tendo lenyewe. 1, Nunua mafuta ya kilainishi (lubricants) yatamsaidia mwenzi wako asipate maumivu wakati uume ukiwa unaingia na wewe mwanaume utapata urahisi wa kuingia bila kikwazo ukeni. Chagua mafuta ambayo yapo kama maji kutokana na ushauri utakaopewa na mtaalamu wa afya kama (KY jelly)
Bonyeza hapa Jisajiri utengeneze pesa ndefu |
2⃣.
Zungumza na mwenzi wako kuhusu chochote ambacho kinakutia wasiwasi juu yake maana hiyo itamsaidia kujiandaa kiakili pia kwa ajili ya kukupa utamu maana inapendeza kuwa na mtu ambaye kwa Mara ya kwanza anatakiwa akuamini na hana wasiwasi na wewe.
Hapa kikubwa kinachomfanya mwanamke apate maumivu zaidi ni uoga wa tendo. Hakikisha asiwe na wasiwasi nawe, jitahidi kumweka katika hali ya utulivu pia kila mmoja awe anajali hisia za mwenzake, mbembeleze mfanye Siku hiyo iwe ya kumbukumbu ya furaha maishani mwake na siyo ya majuto.
3⃣.
Yakupasa ufahamu Hymen ya mwenzi wako imekaaje ukeni kwake waweza kumuomba akuruhusu umchunguze au akuelekeze vizuri ili wakati wa kuingia usije ukamletea maumivu. Maana kwa kawaida hiyo hymen ndiyo isababishayo damu itoke wakati wa kumtoa bikra. Yatakiwa damu iwe ndogo sana isiwe nyingi na usitumie force wakati unaingia kama unaingia chooni inakuwa haipendezi na zaidi ukiwa makini utamtoa bikra na hata bila damu ukizingatia hymen ilivyokaa ukeni. Kikubwa mfanye aweze kurelax na awe huru.
4⃣.
Hapo waweza kutumia mafuta yako Yale na uupake uume wako na umpake mwenzi wako ili shughuli ianze hapo zingatia hayo niliyokuelekeza hapo juu hakika mwenzi wako atakukumbuka kwa raha utakayompatia.
Mpe kiss za kimahaba na mfanye akili yake yote iwe kwako hakika hataweza kuwaza maumivu bali ataitamani raha na muda mwingi atawaza raha uliyompa na hataisahau siku ya furaha itakuwa
*_Boresha💞Ndoa Yako Ninawatakia utekelezaji mwema._*
Bonyeza hapa Download App ya MAHABA |
0 Maoni