Ticker

6/recent/ticker-posts

KWA NINI BAADHI YA WANAWAKE HULIA WAKATI WA TENDO LA NDOA?

 

KWA NINI BAADHI YA WANAWAKE HULIA WAKATI WA TENDO LA NDOA?

Inaelezwa kuwa hatua ya baadhi ya wanawake wakati wa tendo la ndoa ni kama kutua mzigo wa moyo na kisaikolojia. Kupitia kilio hicho, mwanamke huonesha furaha yake ya kuwa karibu na mumewe na kuonesha kuwa hana tatizo la kuelezea kuridhia kwake na kufika kileleni. Baadhi ya nyakati mwanamke huyaelezea yote hayo kupitia kilio. 

6) Kwenye miguu mpk kweny magaga, hapa huwa tunatia aibu sana mtu kapendeza lkn mguu mweusii

MSICHUKIE ILA NDO UKWELI, HAYA MANENO JAPO UKWELI UNAUMA

Mwanamke unaolewa, hujui kupika, yani unapika mchuzi wenye ladha ya machozi, Harafu unajichekesha chekesha tu, Wengine wavivu hata kupika hawataki ... yeye kila saa simu tu utadhani anafanya biashara ya unga. 

Unakuta mtu ameolewa hana mwezi anataka house girl... huo ni uvivu na unapoelekea ni kubaya, Wanawake wengine unaolewa haafu unakuwa mchafu mchafu tu, hujui kupendeza, unavaa magauni yako ambayo hayashiki pasi, yani unaenda kumsevia mmeo chakula ila unakuta umekanyaga maugali huko mguuni haueleweki yani mpaka anaona kinyaa aisee.. au umejimekapua mpaka umekuwa kama mdoli, makucha marefu kama paka... kila saa umenuna utadhani askari wa ibilisi.

Mwanamke umeolewa ila kila siku mmeo anaondoka kwenda kazini wewe umelala, nguo ya kuvaa ananyooshewa na dada wa kazi, hujui kavaa nini, hujamkiss wakati anaenda kazini, akifika ofisini wadada anaofanya nao kazi ndiyo wanamchana nywele na kumtengeneza vizuri, lazima uachiketu.

Humwambii sweet words, Unajiweka kizee zee, acha ushamba my precious sister, mmeo akiwa kazini hukumbuki hata kumtext, wewe unamtumia tu maneno ya fumbo, utadhani mke mwenzio.

We mume wako humuiti sweet names, kama Hubby, Ayyun, honey, darling n.k Unamuita sijui baba Aziza,sijui baba Kambi au unamwita "we mwanaume", aisee wewe lazima ndoa yako iwe na majaribu sana.

Lovely sisters, hujui kupika mpaka leo jifunze sasa hivi maana unazeeka na utatutia aibu, A good wife must be positive minded, uwe unafikiria maendeleo, usiwe kiwavi, unafikiria kula tu. precious sisters, kupendeza sio dhambi, . Wewe mwanamke lazima ujue kupendeza. Kumwambia mumeo maneno mazuri na kumuita majina mazuri sio dhambi, acha kumuita mumeo majina yasiyoeleweka, Mke mzuri anajali na kutunza familia pamoja na mume wake. 

 Sio kununa nuna tuuu utadhani askari wa motoni, unasingizia kwamba mapenzi ni rohoni., lazima laughter moments ziwepo za kutosha. Precious people of Allah, ndoa ni baraka, you must enjoy it... Ni ibada, tena holy devotion, you must respect it. Ndoa ni neema, usiicheze.
Habar ndo hyo.

Reactions

Chapisha Maoni

0 Maoni

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();