IFANYE NGOZI YAKO KUWA NA MUONEKANO TOFAUTI NA WA KUVUTIA
Habari ya leo tena ndugu, ni matumaini yangu siku yako imekuwa njema sana leo!!!
Je unataka kuwa na ngozi nyeupe? ili iweje?. Wakati mwingine nakutana na wadada au wamama wamejichubua ngozi zao kutoka kwenye weusi na kuwa nyeupe! nashangaa zaidi unakuta dada mwingine ni mweupe wa kuzaliwa kabisa lakini bado anapakaa madudu ya dukani eti ili awe mweupe zaidi!!
Haya ili kuwa na ngozi nyeupe kwa njia za asili na bila gharama yeyote na bila kukuachia madhara yoyote fuatilia dawa ifuatayo ya asili. Hii hasa haikufanyi uwe mweupe kabisa bali unaisafisha ngozi yako vizuri ili iwe na afya ile inastahili na kama imeaanza kufubaa basi itarudi kuwa na rangi yake ya asili na yenye kupendeza.
Hatua za kufuata:
Mahitaji:
Asali kijiko kimoja cha chai
Juisi (maji maji ya limau) kijiko kimoja cha chakula
Maji ya uvuguvugu kiasi
Jinsi ya kutengeneza mchanganyiko wako
1. Changanya juisi ya limau na asali katika chombo kimoja kisafi na uchanganye ukitumia uma au kijiko cha kawaida kwa dakika kadhaa.
Matumizi
1. Osha uso vizuri ukitumia sabuni (kama unapata sabuni ya habbat soda inakuwa vizuri zaidi) na maji ya uvuguvugu kisha jifute na kitambaa kisafi
2. Jipake ule mchanganyiko wako usoni na maeneo yote ya shingoni taratibu huku ukijimasaji hivi kwa dakika 10
3. Osha uso kwa maji safi, mwisho jifute kwa taulo safi.
Mwisho wa makala asante kwa kusoma mpaka mwisho wa story yetu karibu kwa maswali maoni na ushauri ikiwa una tangazo unahitaji tukutangazie Humu pia
*BADILI MAISHA*
*Ukitaka kufahamu njia ya kutengeneza Dora 100 mtandaoni kwa mtaji wa Sh:35,000 njoo inbox nikupe huo mchongo*Whatsapp
kama bado huna App ya MAHABA tafadhali Download kuendelea kupata masomo yetu👇
Bonyeza hapa Download App ya MAHABA |
Makala nyingine
Bonyeza hapa jisajiri tangaza biashara yako Bure
Bonyeza hapa jisajiri tangaza biashara yako Bure
Video Jifunze haya mwanaume Hawezi kuchomoka
Sababu kubwa inayo sababisha mwanaume Kupunguza mapenzi kwako
Fursa ya kujiajiri kupitia blog
Tambua sababu zinazo sababisha wanawake wengi kuachwa na waume zao
0 Maoni