Fahamu kabila ambalo tendo la ndoa ni heshima anayopewa mgeni
Afrika ni moja ya bara lililobarikiwa kuwa na makabila mengi yenye mila na desturi tofauti tofauti.
Leo nitakufahamisha kuhusu makabila ya watu toka Kaskazini mwa Namibia yajulikanayo kama Ovahimba na Ovazimba wanaoishi katika mkoa wa Kunene na Omusati.
Watu wa kabila hilo sio wengi kwa ujumla wao wanafikia 50,000 ambapo wanawake hujishughulisha na majukumu ya nyumbani pamoja na ufugaji ng’ombe huku waume zao wakiwa wanajishughulisha na uwindaji.
Utajiri wa watu kutoka makabila haya hutambulika kwa umiliki wa idadi kubwa ya ng’ombe .
Watu wa makabila haya wana namna tofauti ya kumpa heshima mgeni mara tu awatembeleapo nyumbani kwao.
Mgeni wa kiume akitembelea familia yeyote basi kwa heshima na adabu mke wa baba mwenye nyumba hutakiwa kulala na mgeni huyo na kushiriki nae tendo la ndoa.
Kwa utaratibu huo baba mwenye nyumba humpa heshima hiyo mgeni na kumpisha chumba anacholala yeye na mke wake kwa usiku huo na kumwachia mgeni alale na mke wake na yeye kulala chumba kingine.
Iwapo nyumba hiyo ikawa haina chumba cha ziada cha kulala basi baba mwenye nyumba itampasa alale nje ya nyumba yake.
Vivyo hivyo endepo marafiki wa mke wa mwenye nyumba ikatokea wamekuja kumtembelea rafiki yao basi mke nae hana budi kumwachia mume wake ashiriki tendo la ndoa na rafiki zake hao, kwa mujibu wa mila na desturi hizo hili hutokea kwa nadra sana.
Utaratibu wa mila hizo una faida kubwa kwa mujibu wa wahusika ambapo wanesema kwa kufanya hivyo inapunguza wivu wa mapenzi na kudumisha mahusiano, na kwa makabila haya mwanamke hana sauti kwa mume wake. Download Apps hapa kupata mambo haya
*BADILI MAISHA*
*Ukitaka kufahamu njia ya kutengeneza Dora 100 mtandaoni kwa mtaji wa Sh:35,000 njoo inbox nikupe huo mchongo*Whatsapp
Bonyeza hapa Download App ya MAHABA |
Makala nyingine
Bonyeza hapa jisajiri tangaza biashara yako Bure
Bonyeza hapa jisajiri tangaza biashara yako Bure
Video Jifunze haya mwanaume Hawezi kuchomoka
Sababu kubwa inayo sababisha mwanaume Kupunguza mapenzi kwako
Fursa ya kujiajiri kupitia blog
Tambua sababu zinazo sababisha wanawake wengi kuachwa na waume zao
0 Maoni