ZIFAHAMU FAIDA NA UMUHIMU WA SHANGA KIUNONI KWENYE MAPENZI
Zifuatazo ni sababu,umuhimu na jinsi ya kuzitumia shanga za kiunoni wakati wa wa tendo la ndoa;
1.UNAWEZA UKAZIVAA KAMA UREMBO KWA MUMEO.
Kiuno cha mwanamke kikivalishwa shanga kinapendeza na kuongezeka mvuto, hivyo shanga ni niongoni mwa pambo unalopaswa kujipamba nalo kwa ajili ya mumeo tu.
2. HUFANYA KIUNO CHA MWANAMKE KIONEKANE VIZURI PINDI ANAPOKATIKA MUMEWE.
Naam, hapo ni wewe na mumeo chumbani. Hata kama mke si mtaalam wa kukata kiuno lakini kutokana na usaidizi wa shanga hizo kiunoni utaonekana mtaalam machoni mwa mumeo.
Download Apps kupata mautamu |
3.UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUMPA HAMU MUMEO YA KUPATA RAHA NA UTAMU.
kutokana na utafiti ni kwamba, asilimia kubwa ya waume wanapoona kiuno kimevaliswa shanga hujawa na hamu ya tendo la ndoa, hivyo ukimvalia mumeo shanga huenda ikawa sababu mojawako ya kumpa hisia za tendo la ndoa
4.UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUJIONGEZEA RAHA WEWE MWENYEWE(MWANAMKE) WAKATI WA KUPEANA RAHA NA UTAMU.
Shanga humuongezea mwanamke raha na utamu pale mumewe anapozishika na kuzichezeachezea wakati wa tendo la ndoa kama style mnayotumia inaruhusu.
*BADILI MAISHA*
*Ukitaka kufahamu njia ya kutengeneza Dora 100 mtandaoni kwa mtaji wa Sh:35,000 njoo inbox nikupe huo mchongo*Whatsapp
Bonyeza hapa Download App ya MAHABA |
Makala nyingine
Bonyeza hapa jisajiri tangaza biashara yako Bure
Bonyeza hapa jisajiri tangaza biashara yako Bure
Video Jifunze haya mwanaume Hawezi kuchomoka
Sababu kubwa inayo sababisha mwanaume Kupunguza mapenzi kwako
Fursa ya kujiajiri kupitia blog
Tambua sababu zinazo sababisha wanawake wengi kuachwa na waume zao
0 Maoni