NIMECHAT NA MUME WANGU MWEZI MZIMA NIKIJUA MCHEPUKO.
Nimeolewa na mme wangu alikua yupo Arusha kikazi sasa kuna kaka akanitumia msg insta anasema ni mwanajeshi yupo uganda tulikua tunachat sana kuna siku tumechat mpk asubuhi yani alikua ananijali kuliko ata mme wangu basi mimi nikawa namwagilia moyo kwa mwanajeshi nikiamka naanza kumtafuta mwanajeshi nikawa sina muda na mme wangu tukaongea mengi wote akaniomba akija Tz tukionana niombe talaka kwa mme wangu kwan ananipenda sana nikakubali nikaanza muelezea kuhusu familia ya mme wangu jins mamkwe alivyo na gubu basi akawa ananifariji najiona mimi ndio mimi huku kwa mme wangu mapenzi yalihama akawa anatuma pesa ya matumiz tunaongea mara moja kwa siku basi lkn kwa mwanajeshi tunachart mpk asubuhi
Siku mwanajeshi wangu akanambia anakuja dar akifika atanijulisha na anataka nilale nae mpk asubuhi hotelini nikakubali ikabidi nimpange mamangu mdogo akajifanya anaumwa amelazwa nikampigia mme wangu naenda kulala hospital na mamangu mdogo anasumbuliwaga na miguu sana basi na mamdogo akampigia mme wangu mme wangu akaturuhusu ilikua siku ya ijumaa mwanajeshi kanipigia simu yupo hotelin maeneo ya sinza mori nikaupara vizuri mida ya saa 2 usiku nikaenda nimefika hotelin muhudumu kanipa ua nikapokea kisha nikaelekezwa chumba nimeenda chumban nikakuta bahasha imeandikwa jina langu nikajua ni zawadi maana alisema ataniletea chen ya gold basi mwanajeshi alikua chooni mi nikaka zangu namsubiri atoke nimeweka kope zangu na makeup nilipendeza hasa, basi mwanajeshi katoka chooni kufungua mlango ghafla ni mme wangu, ulishaskia mkojo unakuuma na hautoki astaghafilulah nilitaka kupiga kelele akanikumbatia kisha akanipa ile bahasha fungua zawadi yako nafungua nakuta ni talaka 3,nimechat na mwanaume zaidi ya mwezi simjui na sijawahi kuomba kumpigia videocall sijui nililogwa, basi bwana mme wangu kachukua bag lake kaniacha.nipo hapa nashangaa na kope zanguðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
|
Makala nyingine
Bonyeza hapa jisajiri tangaza biashara yako Bure
Bonyeza hapa jisajiri tangaza biashara yako Bure
Video Jifunze haya mwanaume Hawezi kuchomoka
Sababu kubwa inayo sababisha mwanaume Kupunguza mapenzi kwako
Fursa ya kujiajiri kupitia blog
Tambua sababu zinazo sababisha wanawake wengi kuachwa na waume zao
0 Maoni