Ticker

6/recent/ticker-posts

🌸MBINU 18 ZA KUITEKA AKILI ZA MWANAUME🌸

 


*🌸MBINU 18 ZA KUITEKA AKILI ZA MWANAUME🌸👌*


🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁💋💋💋


*1*.MAPOKEZI💏

 Anaporudi kutoka kazini, safarini au kwenye shughuli yoyote iliyowatengenisha, anza kwa salamu nzuri.mpokee na kumkumbatia huku uso ukiwa na bashasha

🌺🌺🌺🌺🌺


*2* Mavazi👠👜👙👗💄

. Jipambe na upake manukato kwa ajili yake.vaa vizuri nguo ziwe za kuvutia na za kumtega mnapokua chumbani

💋💋👜👜


 *3*Usafi wa mwili

Ili kumteka akili mumeo inatakiwa ujue kuoga vizuri na ujue kuiosha kuma vizuri na ikiwezekana ipake misk au ifukize udi 

❤❤❤❤❤❤


*4* Ujue namna ya kuzungumza na mumeo💝

 Unapoanza kuzungumza naye anza na mambo au taarifa nzuri, na kama kuna taarifa mbaya subiri mpaka atakapopumzika.

❤❤❤


*5*sauti💝

pendezeshe na uilainishe sauti yako kwa ajili ya mumeo… usifanye hivyo mbele ya wanaume wengine.

💝💝💝💝


*6* Jitahidi mara kwa mara kubadili mtindo wa nywele, manukato na kadhalika. Lakini usizidishe kiwango, na ufanye hivyo kwa mumeo tu au mbele ya mahram wako.

💝💝💝💝💝💝💝💝

*7*Mpikie chakula kitamu ajirambe👌 

Waliosema "the way to a man's heart is through his stomach" hawakukosea. Ukiachilia mbali wale watu wachache wanaokula ili kushiba wengi hua wanajali ladha. Hiyo ndio hua inawaongezea hamu ya kula na kuwarudisha nyumbani mapema pia kuwafanya wakumiss pale inaposhindikana kula chakula chako.

💝💝💝💝💝💝


 *8* Kuwa mwenye shukrani kwa mumeo. Ukiwa mwenye shukrani, mumeo atazidi kukupenda na atajitahidi kukufurahisha na kukuridhisha zaidi.

Ukiwa mtovu wa shukrani, mumeo atasikitishwa na hali hiyo na kuanza kujiuliza: “Kwa nini nimfanye mambo mazuri mtu asiyekuwa na shukrani?” Epuka hali hiyo.

💝💝💝💝💝💝


*9*Daima kuwa mtiifu kwake na mwaminifu.

💝💝💝💝💝💝💝

                                               *10* Muunge mkono kupitia kazi yako, fedha yako au mali yako pindi inapohitajika. Japo hii wanawqke wengi hushindwa

💝💝💝💝💝💝


*11*. Fuata maagizo yake, isipokuwa katika mambo ya haramu. Katika Uislamu, mume ni kiongozi wa familia, na mke ni msaidizi na mshauri wake.

💝💝💝💝💝💝

                                             *12* Jaribu kuepuka yale yanayomkasirisha.

Mfurahishe anapokuwa ameghadhibika. 

💝💝💝💝💝


*13* Ukimkosea muombe msamaha.

 Akikosea usihamaki kwa kumfokea au kuzozana naye. Subiri anapokuwa hana ghadhabu na uzungumze naye kwa amani na kwa kauli nzuri.

💝💝💝💝


*14*  Mpe mapenzi motomoto kwa style mbalimbali usiwe na style moja shost👌usichelewe kumpa mahaba pindi mumeo anapojiwa na hisia ya kutaka kufanya mapenzi.Mwambie maneno matamu na yenye mvuto wa mahaba. 

💝💝💝💝💝💝


*15* Jua kumsifia babydady kwa zuri atakalokufanyia sio unakaa kimya 

💝💝💝💝💝💝


*16* Mtoe out babydady siku moja moja na siku nyingine pendelea kutumia mda mwingi kuongea nae maneno mazuri mkiwa nyumbani👌

💝💝💝💝💝💝💝💝

                                           *17* Mfanyie massage ya mwili na ya mboo,vilevile msinge mumeo anapokua nyumbani siku za weekend tumia mda mwingi kumfanyia hayo mambo👌

💝💝💝💝💝💝💝💝💝

*18* Mwite majina mazuri ya kimapenzi shost👌inahusu nini kumwita baba sikujua?khaa hukufundwa eeh basi mi nakufunda ili kuiteka akili ya mwanaume muite majina mazuri kama honey dear sweet darling ukishindwa mwite jina lake nusu shost liwekee shwagaa mfano waweza ita my ben,badala ya mybenard au athu wangu badala ya athuman wangu haihuu shost jitahidi👌👌

💝💝💝💝💝💝


Shoga hakuna mchawi wa mapenzi ukifanya yote hayo utakua umeteka akili yake na hatobanduka kwako abadani👌👌👌

🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁🍁 


*@By Aminat Binti Quwais❤️*

Mwisho wa makala  asante kwa kusoma mpaka mwisho wa somo letu karibu kwa maswali maoni na ushauri ikiwa una tangazo unahitaji tukutangazie Humu pia

*Fahamu jinsi ya kuwa milionea  Kwa mtaji wa Tsh:200,000 kupitia smartphone  njoo inbox nikupe huo

kama bado huna App ya MAHABA tafadhali Download kuendelea kupata masomo yetu👇
Reactions

Chapisha Maoni

0 Maoni

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();