NINI CHANZO CHA MAHUSIANO NA NDOA KUKOSA MVUTO KAMA ILIVYOKUWA MWANZO🤔
Kwanza ifahamike wazi;-
👉🏼 KINACHO IMARISHA MAPENZI NI FURAHA NA AMANI 💯
Kama hivyo vitu vikitoweka wala husumbuki kutafuta chanzo cha mabadiliko ya mwenza wako, Mahusiano ama ndoa yeyote hakuna mtu anafuata TENDO LA NDOA peke yake, Maana hata tendo la ndoa linachangizwa na AMANI PAMOJA NA FURAHA na tayari hivyo viwili vimekuwa bidhaa adhimu kwa vyovyote vile NURU YA PENZI HILO LAZIMA ITOWEKE📍
Asilimia kubwa ya wapenzi wa leo ni kutofautiana UMUHIMU WA PENZI HUSIKA kwani kuna wanaodhani unapokuwa na mahusiano ama ndoa ni kupata msaidizi wa mambo ya kuongeleka badala ya ile maana halisi kwamba;-
👉🏼 MAHUSIANO AMA NDOA NI CHAGUO LA NAFSI PAMOJA NA MOYO💯
Na kwa mahusiano pamoja na ndoa zitikanazo na NAFSI pamoja na MOYO huwa zinajiendesha kwa HISIA.
Download Apps hii upate burudani ya kutazama video bureTofauti na mahusiano/ndoa zinazojengwa na VITU, NGONO pamoja na MUONEKANO wa mtu, Maana vyote hivyo hupungua kama sio kutoweka kabisa💯
Ukimpenda Mtu na kumpa THAMANI yake kama Mtu muhimu maishani mwako niamini utakuwa Kwenye hakika ya BAADAYE "future"
Wengi tunapenda mambo ya kufariji ili tusiumie, Wakati ili upate kitu Kizuri lazima ukubari MAHANGAIKO ukihangaikia hicho Kizuri😂
Maana ya MAPENZI ni pamoja na FAIDA kupitia mtu wako, mfano:-
👉 TANGU UMEKUWA NAE KUNA HATUA UNAPIGA KWENDA MBELE IWE KWA MAOMBI, NYOTA, USHIRIKIANO KATIKA KINACHO KUENDELEZA📍
Kinyume chake uko na mtu hata kama anakupa penzi tamu lakini ukijitazama Kabla hujawa nae na Sasa unajiona umeporomoka kuanzia NURU YA USO mpaka mwili umekwisha bado unatafuta waganga wakupigie ramli kwanini uko na hali hiyooooo 🕺
*Fahamu jinsi ya kuwa milionea Kwa mtaji wa Tsh:200,000 kupitia smartphone njoo inbox nikupe huo
KWA HABARI ZA BISHARA NA BIDHAA MPYA TAZAMA MAUZO TV |
Makala nyingine
Bonyeza hapa jisajiri tangaza biashara yako Bure
Bonyeza hapa jisajiri tangaza biashara yako Bure
Video Jifunze haya mwanaume Hawezi kuchomoka
Sababu kubwa inayo sababisha mwanaume Kupunguza mapenzi kwako
Fursa ya kujiajiri kupitia blog
Tambua sababu zinazo sababisha wanawake wengi kuachwa na waume zao
0 Maoni