Ticker

6/recent/ticker-posts

FAIDA ZA KUKUMBATIANA KIAFYA


Kukumbatiana kwa wanandoa ni faraja kubwa na inaongeza upendo kwenye ndoa yenu.Mkumbatie mume wako sio tu unataka akupe ruhusa ya kwenda sehemu fulani,wataka sare ya harusi au wataka nguo mpya mkumbatie kila unapomuaona.


Mkumbatie mkeo kila umuonapo sio  unataka yale ya kwichikwichi au unataka kumkopa ndio uanze kumkumbatia.


Kumbatianeni kwa that  kwani hakika kukumbatiana kwa dhati kwa wanandoa kuna faida nyingi sana.Huleta furaha huongeza upendo,huondosha msongo wa mawazo,kufanya mapigo ya moyo kwenda taratibu yaani huondokwa na hofu na kujihisi upo salama kwenye himaya yako.Hukufanyeni mishipa ya matamanio kuwa na nguvu na umadhubuti.


Kufanya yale majini mahabak utokutawaleni kwenye miili yenu,hukufanyeni kukinai na vyenu mnavyomiliki hata mukipungukiwa na chakula hukuingieni kukinai,hufanya kuweza kumsaidia mwenza wako kutengeneza joto sawa.Hufanya mzunguko wa   damu kuweza kutembea vizuri na vile vile huondoa hofu ya kuogopana na kila mmoja wenu hujiachia kwa mwenzake.


Wanandoa  musione tabu kukumbatia ama mmoja wenu kujipakatisha kwa mwenzake mfanye awe kiti,mto hata kuwa godoro jiachie kwa raha zako ndoa sio ugomvi ndoa ni urafiki.


Kuanzia sasa Mume/Mke kumbatiananeni baada minipe majibu juu ya nilioyokuelezeni.


       KUMBATIANANENI

                Share

Chapisha Maoni

0 Maoni