Ticker

6/recent/ticker-posts

YAFAHAMU MAMBO 10 AMBAYO KILA MWANAUME HUPENDA ZAIDI TOKA KWA MKEWE


Bonyeza hapa Download App ya MAHABA
(If you do not understand Swahili click on the translation section below)

Huenda unajiuliza ni kwa nini mumeo haonekani kufurahia uwepo na mapenzi yako kama zamani, unajiuliza nini kimemsibu hadi anaanza michepuko, unajiuliza ni vipi ameanza kukuona wa kawaida, ONDOA SHAKA tambua mchawi kwa kiasi kikubwa ni wewe mwenyewe mwanamke umejisahau mno umebweteka umezubaa umekosa ubunifu mapenzi yenu yameshuka, wakati ukisema kupet pet ni utoto na mambo ya vijana mmeo akili yake humtuma kuwa uwezo wako umekwisha anaanza kuhisi upweke. Amka mwanamke, okoa ndoa yako okoa uhusiano wako tambua mambo haya 10 ambayo ni ulevi wa kila mwanaume katika mapenzi, wanayapenda mno:


Bonyeza hapa jisajiri uweze kupata pesa bila kuwekeza chochote weka code mzopola

``1. Maneno mazuri yenye kutia moyo.

Wanaume wengi hujiona wagumu kwenye kutamka neno ‘I love you’ kwa wanawake zao na hata akisema itakua ni mara chache chache hata kama kweli kutoka moyoni wanapenda, lakini haina maana hawataki kuambiwa na watu wanaowapenda, hii huwaaminishia nafasi yao kwenye moyo wa mwanamke.

Na wanavyosema wanaume wanapenda kudekezwa japo ni wakali ni kweli ata mbwa akiwa mkali vipi ukimuita jina na kumkuna manyoya mwenyewe analala chini na kufuraia jambo hilo cha msingi tusiwe wavivu kujaribu kumjali mtu inasaidia sana.```
Maneno yako yaeza kuwa silaha yako kuu kuiteka akili ya mumeo,  yatumie ipasavyo sio kila siku kufokeana na kununiana, maneno matamu huulegeza moyo wa mwanaume humfanya kutulia na kuhamisha hisia na mawazo yake yote kwako, ndio maana wanawake wanaojua kubembeleza huwafanya waume zao kuwasahau hadi wazazi wao, sitaki nawe uyatumie kwa ubaya ila kwa wema kulinda ndoa yako,

Bonyeza hapa jisajiri uweze kupata pesa bila kuwekeza chochote weka code mzopola

``2. kuuliza mambo yenye tija katika ndoa.

Lengo la kila mwanaume ni kupata mwanamke alie sahihi katika maisha yake ambae anajua nini maana ya maisha ndio maana wanaume wengi hupenda kuringishia wake zao kwa marafiki na kigezo kikubwa huwa ni akili alionayo mwanamke mfano " mama Sumayya anajielewa sana yule mwanamke kila siku lazma aniingizie kitu kichwani mwa bwana wangu nafurai kuwa nae" Na pia upenda kuulizwa nini ndoto au malengo yake katika maisha na sio mwanamke ambae mnakaa tu bila kuulizwa maswala ya msingi au kumpa changamoto yoyote ya msingi mwanaume kwa kufanya haya kama mwanamke utajiwekea nafasi nzuri kwenye moyo wa mumeo na atakuamini katika mambo yake makubwa.```

`3. Kujiongeza katika tendo.

Bonyeza hapa Download App ya MAHABA

Ni mtazamo wa wengi kwamba mwanaume ndio siku zote awe mwanzilishi wa tendo.

Lakini mwanaume kwa wakati mwingine hupenda mwanamke wake ampe vishawishi na yeye vya kumleta kwenye mood.

Sio kila siku aanze yeye tu, wakati tendo ni la kuwafurahisha wote.

Bonyeza hapa jisajiri uweze kupata pesa bila kuwekeza chochote weka code mzopola

Hata kama ni ngumu kusema kwa mwanamke, ishara kibao zipo za kumuonyesha mwenzi wako akaona ‘Leo baby anataka na yeye’.```

`4. Kuaminiwa.

Mwanaume upenda kuaminiwa japo inapotokea anaaminiwa sana ujisahahu pia nafikiri mwanaume ukimwamini usimwambie acha matendo yajioneshe na hata kama anafanya uchafu wake atajiskia aibu na ufurai kuona kama mwanamke unacheza kwenye nafasi yako vizuri bila kumpanda kichwani au kupenda kumkaripia wanaume wengi hawapendi kukaripiwa na hasa wakiwa na marafiki zao huisi wamevunjiwa sana heshima mwengine anaweza asikwambie ila akakushusha vyeo katika mahusiano yenu.

Japo wengine hulitumia hili kwa uchafu wao lakini wengi wao ni kitu chema kwao.```

Bonyeza hapa jisajiri uweze kupata pesa bila kuwekeza chochote weka code mzopola

`5. kuitwa majina mazuri na upekee.

Bonyeza hapa Download App ya MAHABA

Kuna baadhi ya maneno mwanaume anaweza asikwambie lakini utamani kuyaskia kutoka kwako mfano: Katika maisha yangu kuna wanaume nimekutana nao sikatai baby lakini wewe Umuhimu wako katika maisha yangu nashindwa ata kueleza kwa jinsi ulivyo nikaa moyoni mume wangu naomba usinipe tabu ya kuanza maisha mapya na mtu mwingine mume wangu" katika kutamka maneno haya usisahau viunganishi vyenye mashiko kama neno mume wangu, mwandani wangu au mpenzi wangu uleta tija sana kuliko maneno ya kingereza uonekana ni ya kawaida Jua kumsifia mwanume na atakuweka kwenye nafasi muhimu sana.```

Bonyeza hapa jisajiri uweze kupata pesa bila kuwekeza chochote weka code mzopola

``6. Kushukuru na kutoa ya Moyoni Kama amefanya kazi nzuri, mwambie.

Wote tunajua sio kila siku sio jumapili na sio kila siku watu uonyesha uwezo wa messi na siku mtu akiwa kwenye kiwango kizuri hufahamu kwa hyo kumshukuru kwa kueleza ya moyoni ni jambo jema sana na jitaidi usiwe mkali katika hili mwambie kwa sauti ya mahaba ya taratibu ata alipokosea pia sema kwa utaratibu kwa sababu wanaume wengi uamini wanawake ni watu wapole wenye semi za taratibu na ni mwiko kumfanya aamini vinginevyo.```

Bonyeza hapa jisajiri uweze kupata pesa bila kuwekeza chochote weka code mzopola

7. Kuomba Msamaha.

Katika kila ndoa au mahusiano ya kawaida unapokosea na kuomba msamaha Mwanaume yoyote upenda kuskia ivyo na itakuwa vizuri zaidi kama utatamka na lile kosa lako ulilotenda na kuomba msamaha kwa kumtaja kwa cheo cha mume wangu nisamehe nimekukosea sana na sikupaswa kufanya ivyo, Vinagongana vikombe sembuse nyinyi wanandoa hamna mtu ambae amekamilika katika dunia hii kila mtu ana mapungufu yake cha msingi ni kufahamu mampungufu ya mwenzio na kufanyia kazi na mengine kuvumiliana.

Usililete tena mezani jambo ulilosema umesamehe.```

Bonyeza hapa Download App ya MAHABA

`8. Kusali na kumcha Mungu .

Ujue sifa moja ambayo Mwanaume anaweza kuwa nayo anaweza kuwa mtu asiesali lakini upenda kumuona mkewe anasali na kitu kinacholeta ugomvi siku hizi ni wanandoa kutaka kwenda sawa kwenye kila jambo na wengine kusahau nafasi zao na mwanamke anaesahahu nafasi yake mwanaume umuita kiburi kwa kupenda kuwa sawa kwenye kila jambo na wanaume wengi uamini kwenye matendo sana kuliko kusali nadhani ni kutokana na mambo mengi waliowahi kukutana nayo na kuyaona ila jambo la kumcha Mungu ni jema ambalo mume akiliona kwa mkewe ufarijika sana.

Bonyeza hapa jisajiri uweze kupata pesa bila kuwekeza chochote weka code mzopola

Mwanamke mcha Mungu siku zote huwa ni wazo la kila mwanaume endapo ana mpango wa kuoa ama Kuongeza mke.

Mwanaume huwa na amani kwa kiasi fulani akiongozwa na mwanamke wake kwa upande huo wa sala.```

``9. Kupeti petiwa.

Wanawake wengi hutaka wao tu ndio waulizwe kuhusu jinsi siku zao zilivyoenda kila siku, wanasahau kabisa hata wanaume nao walikua kwenye mihangaiko.

Mzoeshe kumuuliza mpenzi wako siku yake ilikuwaje? utaona hata nuru ya mapenzi yenu itang’aa na mtakua marafiki, japo mwanzoni atakua hakuambii kila kitu lakini baada ya muda atazoea.

Bonyeza hapa jisajiri uweze kupata pesa bila kuwekeza chochote weka code mzopola

Kila mtu anataka wa kumsikiliza, mtu atakayezungumza nae chochote kilichotokea ndani ya siku yake, na pengine kukuuliza ushauri.```

Nakutakia siku Njema, Mungu Akubariki na kukulinda

Kama bado hujapata App ya blog hii Download hapo chini 👇

Reactions

Chapisha Maoni

0 Maoni

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();