Ticker

6/recent/ticker-posts

UNDERSTAND THE EFFECTS OF ANGER+FAHAMU MADHARA YA HASIRA


 English&Swahili

UNDERSTAND THE EFFECTS OF ANGER

Crick here to Download the MAHABA App

Anger is a negative emotion that comes naturally to everyday life.

Anger is a combination of emotions such as jealousy, hatred, fear, anxiety, doubt, fear,

(Anger is all negative emotions i.e. fear, doubts, jealous, envy, resentment)

Anger that lasts for a long time causes Depression and the anger that a person directs out of it is called rage.

Waiting for someone to change his behavior in order to love you is to find reasons to be angry with him

Anger that cannot change the situation you are going through is meaningless

When you are angry you will feel that everyone hates you and you will have good reasons to see people as bad because the way they eat, dress, live is enough reason to make you angry against them.

If you hate yourself, despise yourself, put yourself in the lower class you will see everyone hate you, despise you and put you in the lower class.

"You feel the way you think"

Anger is present in everyone but varies in response

For many people they go through internal pain and express their pain by saying bad things about others, disappointing others, blaming others, criticizing others angrily, insulting others, humiliating others.

If you see a person being rude you know he or she is suffering from a serious emotional problem.

Anger prevents compassion and you cannot have sincere love if you do not have compassion and you cannot be faithful when you have no compassion

Crick here to Download the MAHABA App

Thus, a person who is merciless cannot have true love or loyalty, nor can he forgive the mistakes of others

Forgiveness is not easy for most people because of anger and when you are angry you will see that you are right to harbor resentment or desire for revenge the problem is not the badness of other people but the feelings of anger that afflict many

You have witnessed murder in a marriage, a person being beaten mercilessly is because of a lack of compassion and you cannot be cruel because you will not always want to hurt the feelings of others.

Anger often does harm to the angry person himself

Anger leads to jealousy, hatred, revenge, frustration, frustration, despair, lack of motivation, inhibition of menstruation, menstrual irregularities, loss of appetite, body fatigue,

Anger lowers the body's immune system and puts the body at risk of contracting various diseases, such as viral and bacterial infections.

Anger prevents a person from falling asleep, exacerbates severe back pain, anger prevents a person from thinking well, anger prevents a person from seeing his mistakes, anger makes a person hate others believing they are worse than him

Anger loss.

Anger makes a person hate himself and makes him feel very bad

Crick here to Download the MAHABA App

If you see someone hearing people say he is coming too high you know the problem is anger and not the bad words of other people

When you are angry when people say bad things about you, the pain is much greater than reality

When you are angry when people criticize you you get very angry and respond to people angrily and see them wanting you to not succeed

When you are angry, you will hate the successful and see that they do not want you to succeed

When you are angry you want others to get in trouble

You get angry because you feel you have not been treated fairly, you feel that people have treated you badly, you feel guilty, you get angry because you feel humiliated or publicly humiliated, you get angry because you feel you are being blamed for something you did not do.

When you are angry and you talk to an angry person you will find that you are getting more and more angry with each other

Anger often leads to impatience

Anger is caused by blame for others

No matter how much someone has done you wrong, you still need to forgive them in order for you to be free and if you see that you will forgive them, they will benefit from you if you stop forgiving.

Crick here to Download the MAHABA App

When you are angry, no relationship will last

Being angry can not forgive the mistakes of others

When you are angry you cannot see your mistakes

When you are angry you will see that others are the ones who need to change their behavior while you see that you are right

In any relationship be it marriage, work, business or friendship remove the discussion if you want success or permanence in your relationship

Debate means you are right and the other is wrong

The man will show all the evidence that the woman is the culprit and the woman will bring every evidence to show that the man is the culprit

Everyone claims the fault lies with the other but he is not at fault

Everyone wants the right partner but no one wants to be right

When you get angry when you get a good job you will look for reasons to see your job is not good

If you get angry and find the right partner you will look for flaws in the tablet to make it look like you are not in the right place

The reasons for this increase in anger are

Critically criticizing others

Blame others

To blame others for their evil

If you speak ill of people it is you who remain angry with them

If you hate someone you will spend a lot more time thinking about their mistakes and bad ones than good ones

No human being is perfect or 100% good or 100% bad

If you see someone talking badly about someone all the time, you know he or she is the one with the problem

Anger causes a person to see the evil of others all the time

Swahili 

 FAHAMU MADHARA YA HASIRA 

Hasira ni hisia hasi ambazo huwa zinakuja zenyewe katika maisha ya kila siku.

Hasira ni mjumuisho wa hisia kama wivu,chuki,hofu, wasiwasi,mashaka,woga,

(Anger is all negative emotions i.e fear, doubts, jealous,envy, resentment)

Hasira huwa zikiwa ndani kwa muda mrefu husababisha Depression na hasira ambazo mtu huzielekeza nje yake huitwa rage hapa ni pale mtu anakuwa mkali kupita kiasi,kufoka sana,kutoa vitisho,kupiga na kujeruhi bila huruma 

Kusubiri mtu fulani abadilike tabia ili umpende ni kujitafutia sababu za hasira dhidi yake 

Hasira ambazo haziwezi kubadilisha hali unayopitia hazina maana

Ukiwa na hasira utahisi kila mtu anakuchukia na utakuwa na sababu kibao za kuona watu ni wabaya kwa sababu jinsi wanavyokula,wanavyovaa,wanavyoishi ni sababu tosha za kukupa hasira dhidi yao 

Ukijichukia, kujidharau,kujiwekea tabaka la chini utaona kila mtu anakuchukia,kukudharau na kukuweka tabaka la chini.

"You feel the way you think"

Hasira zipo kwa kila mtu ila hutofautiana katika kukabiliana nazo 

Kwa watu wengi wanapitia maumivu ndani kwa ndani na huyaonyesha maumivu yao kwa kuwasema wengine kwa mabaya, kuwakatisha tamaaa wengine,kulaumu sana,kukosoa wengine kwa jazba,kutukana wengine , kudhalilisha wengine 

Ukiona mtu hana huruma ujue anasumbuliwa na tatizo kubwa la hisia za hasira.

Hasira huzuia huruma na huwezi kuwa na upendo wa dhati kama huna huruma na huwezi kuwa mwaminifu wakati huna huruma 

Hivyo mtu akiwa hana huruma hawezi kuwa na upendo wa dhati wala hawezi kuwa mwaminifu na vilevile hawezi kusamehe makosa ya wengine

Kusamehe sio rahisi kwa watu wengi kwa sababu ya hasira ukiwa na hasira utaona upo sahihi kwa kubeba hisia za chuki au kutamani kulipa kisasi tatizo sio ubaya wa watu wengine bali ni hisia za hasira huwatesa watu wengi

Umeshuhudia mauaji ya watu kwenye ndoa,mtu kupigwa vibaya bila huruma ni kwa sababu ya kukosa huruma ukiwa na huruma huwezi kuwa katili kwa sababu muda wote utakuwa hutaki kuumiza hisia za wengine

Hasira huwa zinaleta madhara kwa mwenye hasira mwenyewe 

Hasira husababisha wivu, chuki kisasi,kukata tamaa, kuchanganyikiwa, kupoteza matumaini,kukosa hamasa,kuzuia mtu kuelewa, kuvurugika hedhi,kuondoa hamu ya kula,mwili kupata uchovu,

Hasira hushusha kinga ya mwili na kuuweka mwili katika hatari ya kupata madhara ya magonjwa mbalimbali kama yenye kuambukizwa kwa virusi na bakteria 

Hasira huzuia mtu kupata usingizi,huzidisha maumivu makali ya mgongo,hasira huzuia mtu kufikiri vizuri,hasira humzuia mtu kuona makosa yake,hasira humfanya mtu kuwachukia wengine akiamini ndio wabaya kuliko yeye 

Hasira hasara.
Hasira humfanya mtu kujichukia mwenyewe na kumfanya awe mwenye kujihisi sana 

Ukiona mtu akisikia watu wamemsema anakuja juu sana ujue tatizo ni hasira wala sio ubaya wa maneno ya watu wengine

Ukiwa na hasira watu wakikusema kwa ubaya maumivu yanakuwa makubwa sana kuliko uhalisia 

Ukiwa na hasira watu wakikukosoa unapata hasira sana na kuwajibu watu kwa jazba na kuwaona wanataka usifanikiwe 

Ukiwa na hasira utawachukia waliofanikiwa na kuwaona hawataki ufanikiwe 
Ukiwa na hasira unatamani wengine wapate matatizo 
Unapata hasira kwa sababu unahisi hujatendewa haki,unahisi watu wamekufanyia ubaya,unajiona huna hatia,unapata hasira kwa sababu unaona umedharauliwa au kudhalilishwa hadharani,unapata hasira kwa sababu unaona unapewa lawama kwa kosa hujafanya

Ukiwa na hasira na ukiongea na mtu mwenye hasira utaona mnazidi kufokeana na kujibizana kwa jazba 

Hasira huwa inafanya mtu akose uvumilivu

Hasira husababishwa na lawama kwa wengine

Haijalishi kuna mtu amekufanyia kosa kubwa kiasi gani bado unatakiwa kumsamehe ili wewe uwe huru na endapo utaona ukimsamehe atakua amenifaika ukiacha kusamehe ni wewe mwenyewe unaebaki ukiteseka

Ukiwa na hasira hakuna mahusiano itakayoweza kudumu nayo 

Ukiwa na hasira huwezi kusamehe makosa ya wengine
Ukiwa na hasira huwezi kuona makosa yako

Ukiwa na hasira utaona wengine ndio wanatakiwa kubadilika tabia huku wewe unaona upo sahihi 

Katika mahusiano yoyote yale iwe ndoa,kazini, biashara au urafiki ondoa mjadala kama unataka mafanikio au kudumu kwenye mahusiano yako 

Mjadala maana yake wewe upo sahihi na mwengine hayupo sahihi 

Mwanaume ataonyesha kila ushahidi kuwa mwanamke ndio mwenye makosa na mwanamke ataleta kila ushahidi kuonyesha kuwa mwanaume ndio mwenye makosa

Kila mmoja anadai makosa yapo kwa mwengjne ila yeye hana makosa 

Kila mtu anataka mwenza sahihi lakini hakuna ambaye anataka kuwa sahihi

Ukiwa na hasira ukipata kazi nzuri utatafuta sababu za kuona kazi yako sio nzuri 

Ukiwa na hasira ukipata mwenza sahihi utatafuta dosari kibao ili uonekane haupo sehemu sahihi 

Sababu zenye kupelekea hasira kuongezeka ni 
Kukosoa wengine kwa jazba
Kulaumu wengine 
Kuwasema wengine kwa mabaya  yao

Ukiwasema watu kwa mabaya ni wewe unaebaki na hasira juu yao 

Ukimchukia mtu utatumia muda mwingi sana kuyafikiria makosa yake na mabaya yake kuliko mazuri yake 

Hakuna binadamu aliyekamilika wala mzuri kwa 100% au mbaya kwa 100%

Ukiona mtu anamsema mwengjne kwa mabaya muda wote ujue yeye ndio mwenye matatizo 

Hasira humfanya mtu kuona mabaya ya wengine muda wote












Reactions

Chapisha Maoni

0 Maoni

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();