JINSI YA KUONDOA HARUFU MBAYA MWILINI
tuone njia rahisi kabisa ya kuondoa harufu mbaya mwiilini
mrembo kunuka ni aibu
MAHITAJI
limao 2-3
maji ndoo 1
JINSI YA KUANDAA
chukua maji yako kamulia limao lako
tumia mchanganyiko huu kuogea mwili mzima
tumia mara 2 kwa siku mpaka pale utakapoona harufu imeisha mwilini
PIA KAMA KWAPA LAKO LINANUKA.
TUMIA LIMAO JUSUGULIE KWAPANI
👉🏿VITU VINAVYOPELEKEA UCHAFU KUTOKA UKENI
kwa kawaida mwanamke kutokwa na majimaji au ute mweupe ukeni ni hali ya kawaida na siyo tatizo
endapo maji hayo yanayotaka siyo mazito na hayanuki (hapo si tatizo)
ila ukiona maji yanayotoka ni ya njano au kahawia ni mazito na yanatoa harufu Kali na unawashwa hilo ni tatizo tayari
SABABU .
maambukizi ya backeria ambao huzaliana ukeni na kuwa chachu ya magonjwa keni
mabaki ya vitambaa,pedi na tissue wakati wa hedhi .
ambapo mwanamke asipozingatia usafi wakati akiwa kwenye siku zake hupelekea kupata backeria ambao huleta miwasho na harufu mbaya ukeni.
pia uvaaji wa nguo za ndani kwa muda mrefu bila kubadilisha hupelekea tatizo hili.
utumiaji wa sabuni au kunawia ukeni pia ni hatari .
JINSI YA KUTIBU TATIZO HILI KAMA LIMEISHAKUKUMBUKA .
MAHITAJI
a)maziwa mtindi (mgando)
kunywa glass moja kila siku kwa muda wa wiki 4 utapona tatizo hili.
NJIA YA 2
MAHITAJI
ute wa alovera.
chukua ute wa alovera pakaa kwenye uke wako kila siku kwa muda wa wiki 2 utaona matokeo mazuri.
JINSI YA KUONDOA MADOA MEUSI MWILINI, MIKUNJO USONI NA MICHIRIZI
SOMA KWA MAKINI UELEWE SIO UULIZE VITU AMBAVYO NIMEANDIKA HAPA👇
🌺MAHITAJI:-
👉Unga wa Manjano kijiko 1
👉Aloevera Gel au ya mafuta kijiko 1
👉Maji ya Liwa kijiko 1
👉Mafuta ya Limao kijiko 2
Changanya mahitaji yako yote vizuri (Ikiwa nyepesi sana ongeza manjano kidogo) kisha pakaa kwenye ngozi safi na umassage kwa dk kama 5 kisha kaa nayo dk 30 unawe na upake mafuta yako ya limao, olive oil au ya nazi. (Ukipaka usoni tumia mafuta uliyozoea ila isiwe ya chemical
Mwisho wa makala asante kwa kusoma mpaka mwisho wa story yetu karibu kwa maswali maoni na ushauri ikiwa una tangazo unahitaji tukutangazie Humu pia
*BADILI MAISHA*
*Ukitaka kufahamu njia ya kutengeneza Dora 100 mtandaoni kwa mtaji wa Sh:35,000 njoo inbox nikupe huo mchongo*Whatsapp
kama bado huna App ya MAHABA tafadhali Download kuendelea kupata masomo yetu👇
Bonyeza hapa Download App ya MAHABA |
Makala nyingine
Bonyeza hapa jisajiri tangaza biashara yako Bure
Bonyeza hapa jisajiri tangaza biashara yako Bure
Video Jifunze haya mwanaume Hawezi kuchomoka
Sababu kubwa inayo sababisha mwanaume Kupunguza mapenzi kwako
Fursa ya kujiajiri kupitia blog
Tambua sababu zinazo sababisha wanawake wengi kuachwa na waume zao
0 Maoni