PENZI LA BABA YANGU_ 12
Baba aisha alikuwa anamwagiwa mafuta mwili mzima ili achomwe moto maana watu wa ule mtaa walikuwa na hasila sana na wezi, sababu wezi walikuwa wanawatesa sana kwa kuwaibia na kuwakaba usiku wakina mama, wazee, vijana pia.
Kipindi baba aisha, kaisha mwagiwa mafuta mwili mzima kuni zikiwa juu yake maana alikuwa kafungwa kabisa mzima mzima, akiwa anasubilia kuchomwa moto tu, baba aisha alilia kama mtoto jamani anaomba msamaa asamehewe mpaka kamasi likimtoka juu, kiberiti kililetwa, njiti ya kwanza iliwashwa ili warushe moto kwa baba aisha aungue kabisa ila upepo ukawa mkali uliizima ile njiti, wakawasha tena ila upepo ukawa kama umezidi ndipo wakaamua kumwagia petroli ili awake vizuri walipo washa walirusha moto kwa baba aisha moto ukaanza kufunguka na kuwaka ! Mala ghafla mvua kubwa ikanyesha.
Watu wakaanza kushangaa jamani nini tena mbona kama mungu hataki afe au sio mwizi huyu nini."ebu tumuache kwanza"
Mda uleule aisha akiwa amebeba mizigo yake kutoka kwa mmewe alikuwa anakuja na njia hiyohiyo.
Ndipo binti yake akawa amefika akauliza kunanini alipo angalia akakuta baba ake amepigwa mwili wote alianza kulia akawambia sio mwizi huyu na mme wake akaja wakampeleka hospital baba aisha.
Ilimchukua mda mrefu sana kupona maana ubongo ulikuwa kama umevurugika kidogo.
Pesa zikawa zimeisha za kuuguza maisha yakaanza kuwa magumu kwa binti aisha pesa ikakosekana kabisa, ikabidi auze nyumba na viwanja vya baba ake ili baba asafilishwe kwenda china kwa ajili ya matibabu.
Kipindi baba aisha anasafili akiwa safarini bahati mbaya binti aisha alipewa taarifa kuwa baba ake ameiaga dunia.
Aisha alisikitika sana aliumia akasema "jamani mama kaisha kufa baba nae kafa nimebaki yatima"😰😢😥 aisha alibaki hana kitu na baada ya msiba aisha alizani ndugu watamsaidia ila alishangaa kila mtu alikuwa anaondoka kivyake tu hakuna aliepata japo moyo kidogo wa kumsaidia maana wote walijua aisha tayali ana mme kwahiyo hana tatizo lolote la fedha.
Ila mme wake aisha alimwambia aisha bora twende kwangu tu maana tayal hauna pa kuishi.
Aisha alifikilia mwanaume alivyo na tabia mbaya ya kutaka mapenzi kinyume.
Hakuwa na jinsi alijikaza kisabuni akaenda kwa mme wake.
Mme wake alijaribu sana kumuomba mapenzi kinyume nyume lakini aisha alikataa kabisa katakata.
Siku moja ilikuwa siku ya sikuku ya mwakampya.
Mme wake alimwambia aisha watoke out kuweza kuufurahia mwaka wakale nyama choma.
Aisha alikubali akaenda maana hakujua kama kuna mabaya yamepangwa.
Mme wake alimlewesha aisha akamdanganya akalewa sana
Aisha alikuwa hajawai kunywa pombe ata siku moja ila siku hiyo Alizidiwa akawa hajielewi kabisa.
Mme wake alimpeleka nyumban akamfanyia kitendo kibaya yani nyuma na maumbile yake.
Aisha alipo amka akauliza,, mme wangu mbona naisi maumivu uku nyuma au umenifanyia mabaya.
Mme wake akajibu,, hapana mke wangu siwez labda jana ilipo anguka pale bar
Aisha akajibu,, kwanini ulinifanya nilewe?
Aisha aliamka kwa hasila alikuwa anashindwa kukaa akajifunika kitenge bila hata kuvaa chupi ili akapunge upepo
Alikuta wapangaji wao balazani wanakuna nazi.
Alikaa nao kupiga story baada ya kama dakika 40 aisha aliwaaga; aliwambia "naondoka jamani nikalale"
Wakamjibu haa shoga unapenda kulala!!!!
Akacheka!
Kipindi anageuka kurudi chumbani akashangaa wenha wanamcheka,
Hahahahah shoga yangu!! wakasema "mwambie mme wako aache tabia mbaya".
Aisha alishtuka akawambia kwani tatizo nini
Wakamjibu anakumwagia mpaka uko angalia nyege zake matakoni mpaka matakoni zinavuja kwenye kanga yani zinakutoka kwenye kanga
Aisha akajua mme wake amefanyia ubaya aliona haibu
Aliumia kwa hicho kitendo; na alivyo na akili ndogo aisha
Akamuwekea mumewe sumu kwenye chakula!
Mme wake pia aliteseka sana na sumu mpaka akafiliki akaiaga dunia siku hiyihiyo
Aisha akakimbilia mwenyewe police na mpaka sasa amehukumiwa kifungo cha maisha.
MWISHO
SIMULIZI;NILIKUPENDA
SEHEMU YA KWANZA ( 01 )
Jua na kiza viliambatana mfululizo na kuzifanya siku ziende kwa kasi,ilianza asubuhi jioni usiku pia na hatimaye siku kukatika.Kwa upande wa Dick ilikuwa tofauti sana kwake aliona ni kama siku haziendi na wala hazisogei pia hasa pale alipomtongoza Loveness na Loveness kumuhaidi atampa jibu baada ya wiki moja kupita.
"Ooh zimebaki siku chache nimuwini huyu mwanamke,daah leo ikiisha inabaki siku moja,lakini hapana hivi jamani nakuwa kama mngojwa anayesubiri matibabu........kwani Loveness hawezi jua moyo wake unahitaji nini mpaka wiki iishe.kwangu mimi I can't wait.Siwezi kuvumilia nimeshindwa."
Dick alizungumza huku akiishika simu yake kwa lengo kwa kutafuta namba ya Loveness katika simu yake kwa lengo la kumpigia.....Alikaa muda kidogo kisha simu ikapokelewa.
"Hallow...!"
"Niambie Dick hujalala tu...!?"
"Loveness hofu ndio sababu ya haya yote,hata usingizi hauji kabisa nimeona siku ulizonipa nisubiri jibu ni kama adhabu kweli jamani...!!"
"Dick we mtoto wa kiume,umekaa kwa mama yako tumboni miezi tisa bila ya kuzungumza na mtu na wala bila ya kufanya chochote kile na ukaweza, utashindwa kunivumilia kwa wiki moja tu...!"
"Oooh Loveness sipo kwenye mzaha natumaini ungekuwa mimi usingepata hata muda kunitania.....waza fikiri amini nakupenda...!"
"Lala bwana imebaki siku ya kesho tu hofu yako ni nini,mbona siku ya leo imeisha saa tano sasa hivi,kesho hii hapo...mimi ningekuwa wewe ningekuwa mvumilivu au nikupe jibu baya sasa hivi.....Maana inaonekana una haraka sana na jibu langu."
"Loveness usinikaripie naomba unisamehe sio kusudio langu ni kusudio la moyo wangu.Kama nimekukosea naomba unisamehe na nitajitahidi kuwa mvumilivu japo itakuwa ngumu."
"Dick kuna kitu unanitafuta....umeshanikera......."
"Hallow hallow,Loveness......."
Loveness alikata simu nakumfanya Dick akose raha aonekane kama mtu mwenye matatizo lukuki,katika upande wa kusubiria jibu Itaendelea Alhamisii Ijayo
Mwisho wa story asante kwa kusoma mpaka mwisho wa story yetu karibu kwa maswali maoni na ushauri ikiwa una tangazo unahitaji tukutangazie Humu pia
*BADILI MAISHA*
*Ukitaka kufahamu njia ya kutengeneza Dora 100 mtandaoni kwa mtaji wa Sh:35,000 njoo inbox nikupe huo mchongo*Whatsapp
kama bado huna App ya MAHABA tafadhali Download kuendelea kupata masomo yetu👇
Bonyeza hapa Download App ya MAHABA |
Makala nyingine
Bonyeza hapa jisajiri tangaza biashara yako Bure
Bonyeza hapa jisajiri tangaza biashara yako Bure
Video Jifunze haya mwanaume Hawezi kuchomoka
Sababu kubwa inayo sababisha mwanaume Kupunguza mapenzi kwako
Fursa ya kujiajiri kupitia blog
Tambua sababu zinazo sababisha wanawake wengi kuachwa na waume zao
0 Maoni