Ticker

6/recent/ticker-posts

JE NI KWELI WANA NDOA WENGI WANASALITI NDOA ZAO KWA KUKOSA LUGHA ZA KI MAPENZI 🤔

 

JE NI KWELI WANA NDOA WENGI WANASALITI NDOA ZAO KWA KUKOSA LUGHA ZA KI MAPENZI 🤔


Muda mwingine ili MAHUSIANO AMA NDOA iweze kuleta taswira ya ki MAHABA kila mmoja kwa upande wake analo jukumu la kujua kutumia lugha ya ki MAPENZI kama ilivyo tumika Kwenye kitabu cha:-

👉 WIMBO ULIO BORA.

Lugha ya ki MAHABA hiyo ndiyo iletayo ushawishi katika mwili, Na usipotumia lugha hiyo kwa mwenza wako niamini inakuwa ngumu upande wa pili kuelewa lugha unayoitumia katika kuyajenga MAHUSIANO AMA NDOA yako💯

Kuna faida kubwa kwa Mtu kutumia maneno yanayosisimua kuliko hata anayetoa penzi bila msisimko🕺

Waswahili walipata kunena :-

👉 MSISIMKO WA PWANI❤️

Haina maana ya bahari uijuayo kupata msisimko ila ni juu ya MAHABA na ndo maana lugha za ki MAHABA zinawapa wanawake wa TANGA kuonekana kuyajua zaidi MAPENZI na kumbe wala hakuna mjuzi katika MAPENZI zaidi Sana ni namna nzuri ya mtu kujua anahitajika nini kwa mwenza wake, Ndo maana wanawake wengi wanajikuta wanaangukia Kwenye Mahusiano ya nje ukichunguza huko alikoangukia unakuta Mumewe ni zaidi ya huyo MCHEPUKO ila sasa kajamaa ulimi laini na kanajua kutumia lugha za MAHABA❤️

Download Apps hii upate burudani ya   kutazama video bure

Ujinga wa Wana ndoa wengi wanao chepuka iwe wanawake ama wanaume unakuta anaitwa jina tamu tu mfano HONEY masikio yanamsimama kama popo 🐻 kumbe Mume ama Mke angeinusuru ndoa yake kwa kujua lugha ya WIMBO ULIO BORA 💖

Mwisho :-

👉 MAZUNGUMZO YANAYO TAWALIWA NA LUGHA YA KI MAHABA HAYO NDIYO YANASIKILIZWA ZAIDI NA KUPATA UFUMBUZI.

Kama hujui kutumia lugha hiyo anza sasa ili uikomboe NDOA YAKO maana katika sikio la Mwana wa adam Kuna UCHAFU hivyo zibua sikio hilo kwa LUGHA YA MAHABA uone ilivyo rahisi kumuangusha TEMBO kwa sisimizi moja tu😂

Mwisho wa makala  asante kwa kusoma mpaka mwisho wa somo letu karibu kwa maswali maoni na ushauri ikiwa una tangazo unahitaji tukutangazie Humu pia

*Fahamu jinsi ya kuwa milionea  Kwa mtaji wa Tsh:200,000 kupitia smartphone  njoo inbox nikupe huo

kama bado huna App ya MAHABA tafadhali Download kuendelea kupata masomo yetu👇
Reactions

Chapisha Maoni

0 Maoni

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();