Ticker

6/recent/ticker-posts

JE MWANAMKE ANAMILIKIWA KWA PESA ZAIDI KULIKO MAPENZI?

 

MWANAMKE ANAMILIKIWA KWA PESA ZAIDI KULIKO MAPENZI KWA SABABU PESA INAWEZA KUMJENGEA FURAHA NA AMANI BINAFSI💯


Kwanza fahamu kwamba maisha yanahitaji utimilifu wa mahitaji kuliko starehe kwa sababu starehe ni zao la ziada, Maana MAPENZI ni sehemu ya starehe na PESA ni kwa mahitaji stahiki, ndo Maana nasema:-

👉 MWANAUME ANAPOKUWA NA PESA ANAWEZA KUMILIKI MWANAMKE YEYOTE📍

Mwanaume kama una akili unapashwa kujua wazi kila Mwanamke anahitaji kupata Mwanaume ambaye atamtimizia mahitaji yake yote ikiwemo TENDO LA NDOA japo nimejifunza kwamba:-

👉 NI RAHISI MWANAMKE KUKOSA TENDO LA NDOA AKASTAHAMILI ILA SIO MWANAMKE KUKOSA PESA.

Download Apps hii upate burudani ya   kutazama video bure

Usaliti unaosababishwa na NGONO ni wa kutafuta nafasi pamoja na maandalizi, Ila Mwanamke akiwa anahitaji PESA ili atimize mahitaji yake yupo tayari kusaliti kwa risk kwamba LIWALO NA LIWE hatajari hata atagundulika😂😂

Wanaume tafuteni pesa muone ilivyo rahisi kupata Mwanamke unayevutiwa nae pamoja na kuwa na hisia nae, Ila kama huna hela maana yake utalazimika kuingia kwa Mwanamke ambaye sio wa hisia zako wala hujawahi vutiwa nae upo pale kwa MTEREMKO😷

Nakwambia ukweli Mwanamke :-

👉 MWANAUME ASIYE NA PESA ZA KUKUHUDUMIA HUYO NI MPANGAJI MUDA WOWOTE ATAONDOKA.

Fahari ya MOYO wa Mwanaume ni pamoja na kuwa na Mwanamke anayempa matumizi, manao waona hawahongi mjue MFUKONI HAZIGAWANYIKI🕺

Mwisho wa makala  asante kwa kusoma mpaka mwisho wa somo letu karibu kwa maswali maoni na ushauri ikiwa una tangazo unahitaji tukutangazie Humu pia

*Fahamu jinsi ya kuwa milionea  Kwa mtaji wa Tsh:200,000 kupitia smartphone  njoo inbox nikupe huo

kama bado huna App ya MAHABA tafadhali Download kuendelea kupata masomo yetu👇
Reactions

Chapisha Maoni

0 Maoni

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();