Ticker

6/recent/ticker-posts

FAHAMU MTAZAMO MWANAUME KWA MWANAMKE PALE ANAPOKUWA AMEKWISHA KUWA NAE💯


Wanaume wengi kabla hajamjua MWANAMKE huwa na mtazamo wa THAMANI YA MWANAMKE na pindi wanapopata nafasi ya kuwa na mwanamke huwa na mtazamo wa kawaida juu ya MWANANKE🤦‍♂️

Hilo ndilo huwafanya wanaume wengi kuona mwanamke ni kama chombo cha;-

👉 KULEA WATOTO. 

👉 NGONO. 

👉 UPISHI. 

👉 MAANDALIZI YA UVAAJI NA USAFI. 

Na mengine yanayotokana na Mwanaume Kuhudumiwa, kwamba kama Mwanamke sio mchapa kazi anakosa sifa ya kuwa nae, na wanaume wengi wa aina hiyo Hafanyi chochote Mwanamke akiwepo😂

Lakini kama MWANAUME angebakia na ule mtazamo wa awali kwa kujua THAMANI YA MWANAMKE naamini pasingekuwa na MWANAMKE ambaye angelilia MAPENZI na zaidi sana USALITI UNGEBAKIA KWA WENYE HULKA YA NGONO. 

Utu wa MWANAMKE upo katika maungo yake, kuamini kwamba;- 

👉 ANAPO MVULIA NGUO MWANAUME HAPO NDIPO ANAKUWA AMEKABIDHI UTU WAKE KWA MWANAUME HUSIKA. 

Na inapokuwa tofauti Mwanamke huyo hujihisi kufanyiwa ukatiri, japo ni ukweli kuwa STAREHE YA MAPENZI NAYO HAIJAWAHI MWACHA MTHITAJI SALAMA🗣️

Muda mwingine kinachopunguza hasira ya Mwanamke kwa Mwanaume baada ya kumtumia ki ngono na kumuacha ni ile hali ya MAHITAJI YA WANAUME KUWA MAKUBWA JUU YA MWANAMKE kwamba anapoondoka John anaingia mwingine Hamis kusababisha FURAHA japo ya mpito kwa Mwanamke huyo😂

Vinginevyo ingekuwa ni hali mbaya Sana, Zaidi Sana kila Mmoja asimame kujenga DHAMANA YA UPENDO kwa Mwingine, Ni njia rahisi Kuwapa FURAHA NA AMANI YA KUDUMU.

Mwisho wa makala  asante kwa kusoma mpaka mwisho wa somo letu karibu kwa maswali maoni na ushauri ikiwa una tangazo unahitaji tukutangazie Humu pia

*Fahamu jinsi ya kuwa milionea  Kwa mtaji wa Tsh:200,000 kupitia smartphone  njoo inbox nikupe huo

kama bado huna App ya MAHABA tafadhali Download kuendelea kupata masomo yetu👇
Reactions

Chapisha Maoni

0 Maoni

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();