Ticker

6/recent/ticker-posts

MARRIAGE LIFE+MAISHA YA NDOA


English & Swahili 

MARRIAGE LIFE
1. Married life is not a contract but a covenant life between husband and wife. In this covenant each promises to receive his or her partner in his or her own state. *

2. Married life is a journey of tolerance and mutual acceptance in various challenges. Life *

3. Married life is a life of sharing everything with your partner. Your husband or wife will be your best friend who is there to tell you anything *

4. Marital life is built on the closeness of communication between husband and wife. Couples we need to be open about everything. Let no secrets be found in your life. *

5. The married life is a life of intercession. There is nothing more important than praying together as a couple. Don't be a partner who is a beacon to give a reason for not praying every day.

6. Married life is a life of competition and reflection. Living together is sharing your talents and so you complete each other, let us humbly accept learning. *

7. Married life is a call to forgive each other when you have wronged each other. Do not let bitterness take root in your heart. When you set your anger on your partner all night long it means no greetings. Such a situation breaks the foundation of love. Your spouse *

8. Married life cannot avoid conflicts. Ask yourself how you feel when you have a conflict you listen to each other calmly and not buy or despise each other. No one is perfect, under the sun any conflicts occur it is a common thing to reconcile forgiving each other DO NOT BLAME each other *.

9. Marital life is the union of two families. Family of husband and wife. These families in your life together have become one family so when you decide to help each other in various things your brothers do it wisely and wisely without any bias. Life *

10. Your agreement in marriage should be respected by each other. Do not let your brothers and sisters mold you in your life. Also, the issue you have discussed is not that you are going to your relatives to talk about and then start talking about it or going against your spouse. *

11. Do not stand still. You are a Couple so do not show contradiction especially to relatives, friends or neighbors. Do not allow your marriage to become a chore because in that case you are also inviting enemies of your marriage. *

GOD BLESS YOU IN THE JOURNEY OF OUR MARRIAGE LIFE


Swahili 

MAISHA YA NDOA

Bonyeza hapa Download App ya MAHABA

1. Maisha ya ndoa siyo mkataba bali ni maisha ya agano kati ya mume na mke. Katika agano hili kila mmoja anahaidi kumpokea mwenza wake katika hali yake halisi.*

2. Maisha ya ndoa ni safari ya kuvumiliana na kuchukuliana katika changamoto mbalimbali. Za maisha*

3. Maisha ya ndoa ni maisha ya kushirikishana kila jambo na mwenza wako. Mume wako au mkeo ndiye anayetakuwa kuwa rafiki yako mkubwa ambaye upo kumwambia lolote lile*

4. Maisha ya ndoa yanajengwa kwa njia ya ukaribu wa mawasiliano ya mume na mke. Wanandoa tunatakiwa kuwa wawazi kwa kila jambo. Siri yoyote isiwepo katika maisha yenu.*

5. Maisha ya ndoa ni maisha ya kuombeana. Hakuna jambo la muhimu kama kusali pamoja wanandoa na pia Sala ya familia. Usiwe mwenza ambaye wewe ni kinara kutoa sababu ya kukosa sala kila siku.

6. Maisha ya ndoa ni maisha ya kufindishana na kuelimishana. Kuishi pamoja ni kushirikishana vipaji vyenu na hivyo mnakamilishana, tuwe na unyenyekevu wa kukubali kujifunza.*

Bonyeza hapa Download App ya MAHABA

7. Maisha ya ndoa ni wito wa kusameheana pale ambapo mmekoseana. Msikubali kulala na kinyongo moyoni mwako. Unapoweka hasira juu ya mwenza wako usiku kucha asubuhi maana yake hakuna salamu. Hali ya namna hii inavunja msingi ya upendo. Wa ndoa yenu*

8. Maisha ya ndoa hayawezi kukwepa migogoro. Jiulize namna kwa mnakuwa na migogoro mnasikilizana kwa utulivu na siyo kununiana au kumdharau mwenza wako. Hakuna mkamilifu,chini ya jua  migogoro yoyote ikitokea ni jambo la pamoja kurekebishe kusameheana  MSILAUMIANE*.

9. Maisha ya ndoa ni muunganiko wa familia mbili. Familia ya mume na ya mke. Familia hizo kwa maisha yenu ya pamoja zinamekuwa familia moja hivyo mnapoamua kusaidiana katika mambo mbalimbali ndugu zenu mfanye kwa busara na hekima bila upendeleo wowote. Maishani*

Bonyeza hapa Download App ya MAHABA

10. Makubaliano yenu katika ndoa yaheshimiwe na kila mmoja. Ndugu zenu wasiwayumbishe katika maisha yenu. Nanyi pia jambo ambalo mmejadili kwa pamoja siyo unaenda kwa ndugu zako unaliongelea kisha unaanza kumsemwa au kwenda kinyume na mwenza wako.*

11. Kila jambo msisimame pamoja. Nyie ni Wanandoa hivyo isionyeshe kupingana hasa kwa ndugu, marafiki au majirani. Usikubali ndoa yako kuzalauriwa maana ikitokea hivyo pia mnakaribisha maadui wa ndoa yenu.*

```💕❤️MUNGU ABARIKI KATIKA SAFARI YA MAISHA YA NDOA YETU❤️💕```

Reactions

Chapisha Maoni

0 Maoni

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();