Ticker

6/recent/ticker-posts

TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO-TREATMENT OF STOMACH ULCERS

#VIDONDA VYA TUMBO (peptic ulcer disease)

• hutokea kwenye mfuko wa chakula (gastric ulcers) na pia kwenye sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo (duodenal ulcers). Tumbo ni kati ya sehemu mwilini ambazo huzalisha acid kwa jili ya kusaidia kwenye uyeyushaji wa chakula na katika kulinda utumbo na uambukizo wa vimelea vinavyoleta magonjwa.

Kama tujuavyo acid hii yaweza kuunguza sehemu hii ya utumbo na hivyo kusababisha madhara. Kuna njia tumboni ambazo zinaulinda utumbo usiweze kupata madhara haya ya acid, mojawapo ikiwa ni utando wa mucous tumboni lakini pia regulation katika utengenezaji wa acid ili isije ikazidi. regulation hii ni automatic mwilini. Regulation na uzalishaji wa acid hufanywa chini ya matakwa ya mfumo wa neva. Kwa hiyo acid lazima iwepo kwa ajili ya umuhimu wake, lakini isiwepo kwa kiwango kinachoweza kuleta madhara (hii ndio essence ya regulation). 

VIDONDA VYA TUMBO:


hutokea pale ambapo kunakuwa na uzalishaji mwingi wa acid kupita kiasi au pale ulinzi wa tumbo dhidi ya acid unapopungua. Acid hutengenezwa na chembe hai tumboni zinazoitwa parietal cells. 

SABABU ZA VIDONDA VYA TUMBO

1. uzalishaji wa acid nyingi tumboni - hii husababishwa na kuongezeka kwa chembe hai zinazozalisha acid, chembe hizi zaweza kuongezeka kwa sababu ya cancer (gastrinoma - husababisha ugonjwa wa acid nyingi unaoitwa Zollinger - Ellison Syndrome), lakini chembe hizi pia zaweza kujigawanya bila mpangilio (hyperplasia) hivyo zikawa nyingi na kusababisha uzalishaji wa acid kuongezeka.

2. Kutokuwepo na uwiano kwenye regulation ya uzalishaji wa acid, kunatakiwa kuwe na uwiano kati ya vile vitu vinavyoamuru uzalishaji wa acid na vile vinavyozuia. Inapotokea vile vinavyoamuru uzalishi vikavizidi nguvu vile vinavyozuia uzalishaji basi acid huzalishwa kwa wingi na hivyo kusababisha vidonda.


3. uambukizo wa bacteria aina ya Helicobacter pylori . Hawa huharibu ule utando unaolinda utumbo na hivyo kufanya acid iweze kupenya na kusababisha vidonda

4. Kuna dawa pia ambazo mgonjwa akitumia sana zaweza kumsababishia michubuko na vidonda tumbo, dawa hizi ni zile za jamii ya NSAIDs (Non steroidal anti-inflammatory disease) kama aspirin, brufen, indomethacin (indocid) na zote za jamii hii.

Mechanism ya utokeaji wa vidonda ni complex na nadhani nimeelezea kwa kifupi na lugha ambayo naamini imeeleweka.

Matibabu yapo ambayo huhusisha Tibalishe zinazopunguza utengenezaji wa acid, Tibalishe zinazozuia bacteria wa H. Pylori lakini na upasuaji endapo hizi Tibalishe zitashinda Vidonda vya tumbo hupona kabisa endapo mtu atapata matibabu sahihi. 

Ili uondokane na hili inabidi kwanza upate tiba sahihi ya ugonjwa sahihi . Kwa yeote mwenye dalili za ugonjwa huu tafadhali wahi matibabu 

Wahi kupata tibalishe itakayokuponya na kukutibu kabisa piga simu +255759416497tuta kufikishia popote ulipo ndani na nje ya Tanzania.

 Mwisho wa makala  asante kwa kusoma mpaka mwisho wa makala yetu karibu kwa maswali maoni na ushauri ikiwa una tangazo unahitaji tukutangazie Humu pia

*BADILI MAISHA*

*Ukitaka kufahamu njia ya kutengeneza Dora 100  mtandaoni kwa mtaji wa Sh:35,000 njoo inbox nikupe huo mchongo*Whatsapp 

kama bado huna App ya MAHABA tafadhali Download kuendelea kupata masomo yetu👇
Reactions

Chapisha Maoni

0 Maoni

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();