Ticker

6/recent/ticker-posts

TUNDA LA MKWAKWANI Sehemu ya 1

 

TUNDA LA MKWAKWANI

Sehemu ya 1

By Edson Tirani

___________

Tunaanza

Halo! Ilikuwa ni sauti ya Mwanamke ikitokea upande wa pili, mimi nikajibu hallo, mambo alisalimu yule mwanamke, nikajibu poa tu ni nani mwenzangu kwani namba ngeni, mimi ni Aisha wa tanga mkwakwani alinijibu,oh umekosea namba lakini usijala sio mbaya tukifahamiana mimi Naitwa Mrisho ni mfanya biashara hapo dar, sorry pia kama nikikosea niliendelea kuunganisha bando Mkwakwani tunda gani huwa mnapenda kula, nikamchombeza kaswali, Embe alijibu aisha, oh napenda sana embe natamani nije siku huko kwenu kujumuika pamoja nawe kula embe nilimchombeza tena, jamani wewe alitamka Aisha, Aisha nikaita mtaalam, abe, aliitika,ujue sauti yako ni nyororo sana yani ni ile ambayo mwanamke mwingine anatamani kuipata na inaonyesha jinsi gani ulivyo mrembo na mwenye hekima na busara nilimchombeza tena, jaman mbona mm siyo mrembo mbona ni wakawaida tu jamani alijitetea Aisha,no siyo hivyo Aisha usinidanganye tanga kwa warembo mnatisha kwani umeshaolewa, nikamuuliza, hapana mm bado mdogo alijibu aisha,mdogo una miaka mingapi wewe na je bado unasoma, nikamuuliza, hapana nishahitimu form four na nini miaka 22, o wao mm mwenyewe nina miaka 22 pia na natamani tuonane kama upo tayari nilimchombeza Aisha, sawa kwani utakuja lin wewe alikubali na akauliza,nitakupa taarifa tu kwasababu tutakuwa tunachat nitakutaari mana napenda sana Tunda la mkwakwani, nikachombeza,  jaman!!!!!!  Karibuuu alisema Aisha, asante nashukuru nitakuja tu usiwe na shaka Aisha mm ni muaminifu nikija tutaongea mgi zaidi, nilisema mm,  sawa karibu jamani, alisema Aisha afu akakata simu,


Siku zilizo fuata

Najua upendo ni dhahabu yenye thamani zaidi ya zile za Mwanza, Upendo ni tunda lenye ladha zaidi ya asali, furaha yangu ni uwepo wako na msaada wako kwangu, sijaamini kama ungenithamini kama hivyo na wakati hujawahi niona hata siku moja na najua Mungu atasimama mbele yetu mpaka kutukutanisha mm na wewe, unanitumia pesa ya matumizi kabla hatujaonana mm na wewe sasa naiona thamani ya akupendae kweli natamani uje kesho uje ila najua hauna nafasi njoo nakuandalia Tunda la mkwakwani usikose karibu sana ni mimi wako Aisha wa tanga i love you Mrisho, kwakweli nilivuta pumzi ndefu sana sikutaraji@ Aisha aandike

Ujumbe kama ule nilijikuta nikipendwa namna ile nilitoa machozi ya furaha.


Itaendelea Alhamisi ijayo

Mwisho wa makala  asante kwa kusoma mpaka mwisho wa somo letu karibu kwa maswali maoni na ushauri ikiwa una tangazo unahitaji tukutangazie Humu pia

*Fahamu jinsi ya kuwa milionea  Kwa mtaji wa Tsh:200,000 kupitia smartphone  njoo Inbox niku unganishe

kama bado huna App ya MAHABA tafadhali Download kuendelea kupata masomo yetu👇
Reactions

Chapisha Maoni

0 Maoni

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();