Ticker

6/recent/ticker-posts

NI RAHISI KUJENGA DHAMANA YA UPENDO KWA MWANAMKE ALIYE HURU MOYONI KULIKO ALIYE FUNGWA NA MAUMIVU💯

 

NI RAHISI KUJENGA DHAMANA YA UPENDO KWA MWANAMKE ALIYE HURU MOYONI KULIKO ALIYE FUNGWA NA MAUMIVU💯


Ifahamike kwamba MAPOKEO YA UPENDO HUZALIWA NA MOYO💞 na huko ndiko chemi chemi za FURAHA NA AMANI hububujika🎊

Mwanamke ndiye MTUNZAJI NA MLEZI WA MAPENZI na kwa tafsiri hiyo ili Mwanaume awe katika MAHUSIANO AMA NDOA imara anawajibika kumpata MWANAMKE ALIYE HURU MOYONI📍

Mwanamke hawi mwongozaji wa UPENDO katika mahusiano na ndoa ikiwa mwanaume hayupo katika UHALISIA "pure" kwa sababu Mwanamke anakuwa kwenye PENZI kwa kufuata moyo wake, ila tu anaishi kwa kufuata uwajibikaji wa Mwanaume katika penzi lao, Mwanaume kama hujawa tayari kuwa na Mwanamke kwa malengo ya UHUSIANO ENDELEVU usijaribu kumfanya Mwanamke awekeze UPENDO WAKE KWAKO⛔️

Ni hasara kwa Mwanaume kumfanya Mwanamke ampende halafu yeye yupo kwa mtazamo wa HAJA YA MWILI👙

Kuna wakati Mwanamke ataamua kuondoka nawe utakuwa umemzoea ndipo utaamini kwamba;-

👉🏼 HATA PAKA 🐈 NYUMBANI AKIPOTEA UTAM-MISS JAPO ALIKUWA HAKAMATI PANYA🐻

Mazoea yana taabu wahenga walisema, hivyo usimdharau Mwanamke kwa kujua HANA UJANJA KWAKO kisa uliisha mvua nguo 👙

Muda mwingine Mwanamke aweza kuchukulia kwamba ilikuwa starehe na akapuuza uwepo wako na kuendelea mbele, Mapenzi yanabeba dhamana kubwa kuliko UNDUGU lakini Mapenzi hayo hayo ndiyo husababisha MAJANGA DUNIANI hivyo hakuna haja ya kutumiana bali tunawajibika kuwekana wazi kwa MAHITAJI YA KILA MMOJA.

Mwisho wa makala  asante kwa kusoma mpaka mwisho wa somo letu karibu kwa maswali maoni na ushauri ikiwa una tangazo unahitaji tukutangazie Humu pia

*Fahamu jinsi ya kuwa milionea  Kwa mtaji wa Tsh:200,000 kupitia smartphone  njoo inbox nikupe huo

kama bado huna App ya MAHABA tafadhali Download kuendelea kupata masomo yetu👇
Reactions

Chapisha Maoni

0 Maoni

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();